Ushauri: Engagement party ya watu wengi

thebusdriverclassc

Senior Member
Jan 16, 2014
146
66
Wadau habarini za asubuhi,

Ni jinsi gani ninaweza kufanya engage party ndogo nzuri,ambayo itahusisha ndugu wa pande zote (me&ke) na marafiki wachache bajeti yangu milioni moja na nusu am stranded.

Naombeni mchanganuo wadau maana shughuli ni mwezi ujao
 
Nenda kwenye hotel nzuri yenye garden na watakaoweza kutoa huduma ya vinywaji na chakula kama bajeti yako ilvyo...Wakuandalie meza na viti kwa idadi ya watu utakaowaambia...Kitu imeisha..Na hiyo bajeti itategemea na idadi ya watu utakaowaalika..
 
Ingekua vema ungesema unaishi wapi hii ingesaidia wachangiaji kushauri kwa upana hasa kukutajia maeneo ambayo bajeti yako itakidhi mahitaji nyongeza uyo mwenza wako ni mambo mengi au mtu wa kushukuru kwa yote?
 
Back
Top Bottom