Nakaribia kupata hisia za kumuoa lakini anazingua

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,726
Au kwa sababu yeye ni mshirazi mimi ni mweusi tii...,au kwa sababu anajua nia yangu ya dhati ?honestly I swear jahazi langu ndo limetia nanga ,jinsi alivyokua na roho mbaya hata shavu la kipochi chake sikijui ,mkipanga appointment hua haitimii mwaka wa tatu sasa hivi

Kiukweli huyu demu ni wa ajabu ,cha kushangaza haachi wala hakatai hata siku moja zawadi zangu tena za gharama tu hata baba yake hajawahi kumnunulia ,birthday zake japo wanafanyia nyumbani kwao lakini mimi hua ndo naisisimua party ,namnunulia cake ,shampagnes....,nguo etc chakushangaza birthday yake na yangu zinatofautiana siku 2 tu ila hata meseji ya wishes siipati ananiambia ooh nilisahau twin am sorry

Kama kufukuzia mademu nina PHD ila wewe umenishinda am officially giving up kama cost yako ni kubwa hivi benefit itakayoipata hata baada ya kukuvua chupi ni ndogo sana

Nina uhakika kuna kitu unajishtukia hata kama umeonyesha dalili zote zakutovutiwa na mimi ,sasa je mbona vitu vyangu huviachi?au ndo ule msemo wa town wajinga ndo waliwao?ukiwa na shida ukipigiwa simu au text lazima ujibu ila ukimaliza tu shida zako unapiga cobs

Dada kwaheri kumbukumbu zakukunyonya mate tu basi nakukushika viuno ndo nilizobakiwa nazo ama kweli ndege mjanja hunasa tundu bovu ,historia yangu sijawahi fukuzia demu nikamkosa

Sio kusudio langu kusema ipo siku utanikumbuka what I really meant to you that moment ,am sure will be too late to say sorry

Inawezekana kutokana na mila zenu unamsubiria sijui binamu yako aifungue( umewekwa pending)??au inawezekana ulishawahi kuumizwa na uhusiano ambao ulikua nao ?? Lakini je hutaolewa? Usichukie dunia nzima , vile vile may be it wasn't my destiny to marry u kwani ile kauli yangu nilikupatia siku ile ni mbinu yangu ya mwisho kabisa katika kutongoza "I told you kama huniamini niku engage niweke promise kuwa nitakuoa" nayo ukaniambia subiria kwanza .Unadhani hizi hisia zinakuja tu kirahisi ?mimi naheshimu sana neno nitakuo au ulikua unataka nilie uamini ?hapana that's too much

Hivi ndivyo nilivyotunga insha ya somo la kiswahili nikaambulia kupata B ya 70 katika topic ya fasihi andishi
 
Cos if u like the way u look that much baby u should go love yourself

and if you think that i'm still holding something

you should go and love yourself
~ justin Bieber
Mkuu nam dedicate song what do you mean by Justin Beiber tena
 
Mapenzi bwana, kuna mda wewe unahangaika na demu kumubembeleza hana time wakati huo huo naye anamsjmbua jama ambaye anampotezea. Pia wewe pia labda kuna dem anakupenda sana lkn wewe huoni kama namaana kwako, kifupi unae mpenda ujue hakupendi.......
 
Mapenzi bwana, kuna mda wewe unahangaika na demu kumubembeleza hana time wakati huo huo naye anamsjmbua jama ambaye anampotezea. Pia wewe pia labda kuna dem anakupenda sana lkn wewe huoni kama namaana kwako, kifupi unae mpenda ujue hakupendi.......
Swadakta...mkuu ni moja ya theme ya habari hii
 
Cos if u like the way u look that much baby u should go love yourself

and if you think that i'm still holding something

you should go and love yourself
~ justin Bieber
hehe hii mistari beiber alitungiwa na mwanaume wa kibongo bila shaka,maneno yake yanachoma....
 
Ungekutana na Edwin Semzaba (RIP) angekulima A.
"Lakini Mwekundu kwani huwa hutaniwi....una..unaju...unajua...." Sasa endelea.
 
Back
Top Bottom