Kila unapo maliza siku1 ndo kuianza siku nyingine na ndo maana unaweza ukamaliza siku nyingi na bado ukatamani zingine
Ni kwa kua unapoimaliza siku jua unayo ianza ni mpya na hii ni siku nyingine...
Wakuu habari za majukumu?naomba ushauri wa dhati
Nina rafiki yangu nafanya nae kazi ila namuonaga anateseka sana kwenye mahusiano na sijuagi haswa kama mpenzi wake ni nani kwani wengi huaga...
Kuna mwali nafukuzia na nimetokea kumuelewa lakini tatizo kile kikuku anachovaa mguuni.
Kuna dhana zimejengeka kuhusu uvaaji wa vikuku wapo wanaosema kwamba demu akivaa vikuku anatoa ti
Imekuwa ni desturi au tabia na sheria kila kukicha ni majanga kuhusu WANAWAKE.
Tuhuma nyingi zingine hadi naona wanawake wanaonewa .
Nianze na hili ambalo c hapa JF tu linatatiza hadi huku...
Leo tuanze na swali..
Je unamiliki simu janja? Namaanisha smartphone?
Kama umeweza kusoma hapa nina uhakika kwa asilimia 90 ya kwamba unamiliki kifaa hiki.
Sasa linakuja swali la pili, ni mara...
Za jioni ndugu zangu ningependa kufahamu kama nakosea ktk hili,kwa mfano nyinyi ni vijana na mnafanya kazi sehemu moja lakini anajitokeza mfanyakazi mwenzenu anakuwa na vijitabia vya...
Miaka kadhaa iliyopita nilimbambikiwa mtoto na dada mmoja maeneo ninayoishi japo ukweli hakufanana na mimi pamoja na kulalamika na kumwambia kuhusu tarehe zinavyokizana na ujauzito huo,kwa kuwa...
Naelewa Pesa ina nguvu sana lakini nguvu hio haiondoi nini msichana anapenda ndo mana kuna wanaotoboka mifuko, wengine wanaletewa kiulaini bila kutoa hata mia na gharama kama Lodge na vyakula...
Wanabodi wenzangu,
Hakika dunia hadaa,nina mpenzi wangu ambaye kwa kiasi kikubwa sana nimekuwa nikimheshimu sana tu,kiasi cha kujitahidi sana kuepuka vishawishi vya hapa na pale.Mtakumbuka mada...
Nimefuatilia hili suala sana sipati jibu, ukiwa faragha na binti kuanzia miaka 18 to 23 hapo mkianza tuu kuongea mpaka mfike faragha ukitest kupeleka tu mkono utakuta kashaloa kitambo pia wapo...
Habarini wadau,
Sisi waafrika tumejaliwa sana kuongeeea mengi na hata kujisifu sana na mara nyingine tunajisifu kwa vitu ambavyo kwa wazungu ni minor sana.
Katika starehe levels zetu ni ngoma za...
Natafuta mchumba wa kike awe na umri wa miaka 25-30. Awe ameajiriwa.
Umri wangu ni miaka 30. Jinsi yangu ni mwanaume. Nmeajiriwa. Maelezo mengine tutapeana kadri tutakavyowasiliana.
Aliye...
Hii ni taarifa maalum kwa kina dada. Je utafahamu vipi kama jamaa hana mpango wa kukufanya mpenzi wake au pengine hata kufunga ndoa na wewe siku moja? Utajua vipi kama jamaa anataka ngono tu na...
Leo nimeona nifunguke tu hapa jamvini pengine nitakua nimeshusha mzigo huu unao nielemea.Sikutegemea kama ungeni hadaa kwa penzi na maneno matam huku ukijilaza kifuani pangu na kuninong'oneza kwa...
Habar za wakati wana JF,
Kuna kauli za wanawake ambazo zinanikera sana, bila kupoteza muda baadhi ya kauli hizo ni zifuatazo;
1.Ukimwambia i luv u utamsikia anakwambia hilo neno mara ya mwisho...
Zamani wakati wa harusi, bibi harusi alikuwa hawezi hata kumtizama padri au mchungaji anapofungisha ndoa! Mda mwingi alikuwa kainama kitu kilichotafsiriwa kuwa alikuwa na aibu aibu na heshima kwa...
Habari ya hapa wakuu,
Mimi ninae mchumba ambaye natarajia badae mwakani nimuweke ndani. Tatizo lake ni kushindana na mimi kila kitu nikimwambia usifanye hiki na hiki anafanya ukimuuliza anakujibu...
Habari za wakati huu ndugu na marafiki wapendwa wa JamiiForums....
Ni siku nyingine tena tulivu ikiambatana na manyunyu ya hapa na hapa pale kwa sisi wakazi wa Dar......
Leo ningependa...
KAMA EPL LINGEKUA NI DARASA:
1. MANCHESTER UNITED ni
mwanafunzi wa kawaida tu darasani,
hua hapendi kujionesha kama ana akili
ila anapendwa sana na waalimu kwa
sababu hujituma sana katika...
Huwa najiuliza inakuwaje mtu analalamika kuhusu kazi yake, lakini bado anaendelea kuifanya. Unaweza kukuta mtu mwenye ujuzi na ambaye angepata kazi mahali pengine, lakini haondoki ila kulalamika...