Kama wewe ni mwanamke upo kanda ya ziwa na unatafuta mchumba pita hapa

Hozziah

New Member
Sep 15, 2012
4
1
Natafuta mchumba wa kike awe na umri wa miaka 25-30. Awe ameajiriwa.

Umri wangu ni miaka 30. Jinsi yangu ni mwanaume. Nmeajiriwa. Maelezo mengine tutapeana kadri tutakavyowasiliana.
Aliye serious tuwasiliane PM.

Ahsante.
 
Kwanin utafute uku,n km unataka was kanda ya ziwa so utafute ukouko uliko kanda ya ziwa.
 
Yuko Sawa, kupata mchumba inahitaji uvumilivu sana. Pengine Mungu kamuonyesha njia hii kuwa bora kwake
 
I advice him that to remove the condition of being employed, b's God he can give him a wife that she is not employed what will you do
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom