Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,716
- 7,648
Habari ya hapa wakuu,
Mimi ninae mchumba ambaye natarajia badae mwakani nimuweke ndani. Tatizo lake ni kushindana na mimi kila kitu nikimwambia usifanye hiki na hiki anafanya ukimuuliza anakujibu "nimejikuta tu nimefanya nisamehe"
Wakati mwingine ukimuuliza anakujibu mbona we umefanya yani ni kiburi kiburi wanawake mpoje?
Badilikeni ukiwa na uhakika wa kuolewa tulia.
Hii ni sawa jamani mwanamke kushindana na mchumba wako?