Nataka niwe nae, tatizo kikuku chake cha mguuni

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
1,376
1,479
Kuna mwali nafukuzia na nimetokea kumuelewa lakini tatizo kile kikuku anachovaa mguuni.

Kuna dhana zimejengeka kuhusu uvaaji wa vikuku wapo wanaosema kwamba demu akivaa vikuku anatoa ti
 
Ukimchunguza sana bata humli. Kwani kuvaa kipini puani kuna maana gani? Kuvaa bangili nyingi mikono yote miwili kuna maana gani?

Mwanamke ni pambo aka ua aka mwanamke urembo. Urembo hauko wa aina moja na kila mwanamke na ladha yake ya urembo kutokana na haiba yake.
Kwani kuvaa pete mkono wa kulia kuna maana gani?

Urembo tuu hayo mengine maneno. We kama umedondoka jiokote useme naye acha kushangaa. Ukichelewa mwana si wako huyo.
Kasie.
 
Kuna mwali nafukuzia na nimetokea kumuelewa lakini tatizo kile kikuku anachovaa mguuni. kuna dhana zimejengeka kuhusu uvaaji wa vikuku. wapo wanaosema kwamba demu akivaa vikuku anatoa tigo. wengine wanasema anatangaza biashara. sasa kwa kweli mi huyu binti nashindwa kumuelewa anavaa vikuku anaiga ama ana maana yake aliyokusudia? je kuna mwenye uelewa na hiv vidude tuwekane sawa!
kichekoh ni hivi, fanya uwezalo uhakikishe amekubali kukupa papuch . Akikupa then wakati wa mechi jifanye umekosea kisha msokomeze na dishe upande mwingine! akishutuka mwambie wewe ulivyoona amevaa kikuku ukajua anatoa na tigo. Ukiona ametulia then jibu utakuwa umelipata bila kutupotezea muda!!!
 
kichekoh ni hivi, fanya uwezalo uhakikishe amekubali kukupa papuch . Akikupa then wakati wa mechi jifanye umekosea kisha msokomeze na dishe upande mwingine! akishutuka mwambie wewe ulivyoona amevaa kikuku ukajua anatoa na tiGo. Ukiona ametulia then jibu utakuwa umelipata bila kutupotezea muda!!!
Ushauri wako nimeulewa
 
Sawa kila mtu na tabia zake lakini kwa nini uige tabia inayotoa tafsiri mbaya?
Kweli mwanamke urembo lakini kwa nini iwe "vikuku" ni shida akivaa...hii ni tafsiri ya urembo wa makahaba wa enzi na enzi...ukitaka ushahidi peruzi habari zake zipo

Kwa kupiga anafaa sana lakini hafai kuweka ndani

NB: kumbuka kondomu
 
huyo dogo nataka niweke ndan, sasa nafikiria cku namleta home na hizo catalogue mi wazee wangu hawazielewi kabisa.
 
Kuna mwali nafukuzia na nimetokea kumuelewa lakini tatizo kile kikuku anachovaa mguuni.

Kuna dhana zimejengeka kuhusu uvaaji wa vikuku wapo wanaosema kwamba demu akivaa vikuku anatoa tigo.

Wengine wanasema anatangaza biashara, sa kwa kweli mi huyu binti nashindwa kumuelewa anavaa vikuku anaiga ama ana maana yake aliyokusudia?

Je kuna mwenye uelewa na hivi vidude tuwekane sawa.
Sasa si ungemuuliza yeye mwenyewe?

Mbona wamasai wana asili ya kuvaa shanga miguuni na mikononi na hawana hizo mambo.
 
Vijana wengi siku hizi wakike na wakiume wanaiga vitu ambavyo ukimuuliza nini maana yake atakuambia nilimuona Beyonce kavaa na mimi nikapenda hawajui maana yake kabisa...So usimuhukumu kwa hilo yamkini na yeye yuko kwenye mkumbo wa kuvaa tu kama urembo..Angalia vijana wa kiume sasa wanavyotoboa pua..Hivi kweli unadhan wanajua maana yake kweli?
 
kama atakua anaiga bas hana kosa lakin kama anamaanisha, its very dangerous.
 
UNAMPENDA but kikuku hupendi mwambie kivue sipendi kuona mwanamke wangu anavaa kikuku hadharani, kivae nyumbani tu
 
kichekoh ni hivi, fanya uwezalo uhakikishe amekubali kukupa papuch . Akikupa then wakati wa mechi jifanye umekosea kisha msokomeze na dishe upande mwingine! akishutuka mwambie wewe ulivyoona amevaa kikuku ukajua anatoa na tiGo. Ukiona ametulia then jibu utakuwa umelipata bila kutupotezea muda!!!
Ushauri muruwa kbs
 
Acha uoga kijana.ule n urembo tuuh wa mabinti wa Kileo.umaskini wako ndio uoga wako.
 
Ukimchunguza sana bata humli. Kwani kuvaa kipini puani kuna maana gani? Kuvaa bangili nyingi mikono yote miwili kuna maana gani?

Mwanamke ni pambo aka ua aka mwanamke urembo. Urembo hauko wa aina moja na kila mwanamke na ladha yake ya urembo kutokana na haiba yake.
Kwani kuvaa pete mkono wa kulia kuna maana gani?

Urembo tuu hayo mengine maneno. We kama umedondoka jiokote useme naye acha kushangaa. Ukichelewa mwana si wako huyo.
Kasie.
Umenikunaaa...kuna watu wana dhana za kizamani jamani.Hahahaa
 
wa kwangu nilimuona siku moja kakivaa nikampa warning nikamwambia akikivaa tena nakata kisigino, mwanamke akiiga tabia za hovyo anakuwa wa hovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom