TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,843
- 9,278
Habar za wakati wana JF,
Kuna kauli za wanawake ambazo zinanikera sana, bila kupoteza muda baadhi ya kauli hizo ni zifuatazo;
1.Ukimwambia i luv u utamsikia anakwambia hilo neno mara ya mwisho kumwambia mama yako ilikuwa lini(jamani sasa ye inamuhusu)
2. Ukimnunulia simu ya tochi utamsikia"unaninunulia simu ya tochi kwani mi mlinzi"
3. Mkigombana kidogo utamsikia"haloo ukisusa wenzio wala babu we"
4. Kauli nyingine ni ile kuwaita wanaume mabuzi, kwani sisi wanyama mpaka mtuite mbuzi mko*e utasikia"shoga nimelipata buzi hilo linahonga"
Wadada hizi sio kauli nzuri acheni kama kuacha ni ngumu mwaka ujao mtatoka ngeu.

Last edited by a moderator: