Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini wadau,
Sisi waafrika tumejaliwa sana kuongeeea mengi na hata kujisifu sana na mara nyingine tunajisifu kwa vitu ambavyo kwa wazungu ni minor sana.
Katika starehe levels zetu ni ngoma za asili, pombe za asili na ngono (nayo ni ya asili kwa kila kiumbe) ILA cha kushangaza hata hivyo hatuvitaki ati. Angalia tunavyoigaiga na kujisifu:-
-Waafrika tunajisifu kwa "Sex positions" ambazo tunazikopi tu hata majina kutoka kwa wazungu mfano doggy styles, sijui woman on top n.k nafuu Galadudu alitoa yake ya Ikibinda Nkoye.
-Waafrika wengi ukiwauliza wanapendelea pombe gani watakuambia "Dompo" Godowns n.k yaani ni Wines, Champaigne na Whisky,ambazo zote zinatoka Abroad sio rahisi mtu akuambie his/her best drink ni Ulanzi au Mbege ama dadii
-Midundo na vyombo vyote vya muziki tunaoupenda mpaka redio na system nzima za music zina uasili wa nje.
-Watu wameiga wakiwa na wapenzi wao wataulizana whats ua hobbies bby, utasikia
- Swimming
- Watching Movies
- Walking along the beach
- Listerning to good musics
- Rally
- Reading Novels
- Clubbing etc.
Kumbe kiuhalisia sivyo wapendavyo kufanya,hivyo vitu wanavitaja tu wasionekane washamba na Waigaji.
Sisi ni wa kuiga tu hatuna mapya kwenye dunia hii nafuu michezo ya ulaya na music hasa wa Amerika vinawatoa vijana wa kiafrika vinginevyo hatuna ubunifu wala teknolojia mujarab.
Wazungu wanatusanifu na kutuchora sana aisee.
NAWASILISHA.