Vvip
Senior Member
- Apr 7, 2016
- 190
- 84
Za jioni ndugu zangu ningependa kufahamu kama nakosea ktk hili,kwa mfano nyinyi ni vijana na mnafanya kazi sehemu moja lakini anajitokeza mfanyakazi mwenzenu anakuwa na vijitabia vya ajabu,hasalimii wenzake wala kuzungumza yaani ni mtu flani ananata,ila anao wasalimia hawazidi hata 20 halafu mtu huyo huyo anapata tatizo anapitisha form ya mchango,na anayefanya hivyo ni mtoto wa kiume,hebu niambie ktk hili ushawahi kutana na mtu kama huyo???????.