Intelsat
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 323
- 532
Naelewa Pesa ina nguvu sana lakini nguvu hio haiondoi nini msichana anapenda ndo mana kuna wanaotoboka mifuko, wengine wanaletewa kiulaini bila kutoa hata mia na gharama kama Lodge na vyakula vikiwa kwake mlibwende huyo unae mtafuna K hio siku.
Sasa leo mtuambie aisee wadada mnapenda ndevu nyingi au tuwe tunaziondoa je garden love nazo? Hili la kuvutiwa na sauti zito lipoje kwenu?
Nakaribisha michango kwa pande zote mbili ladies and gentlemen hebu karibuni mshare experience yenu ya hivo vitu vitatu.