Kila Unapo maliza siku1 ndo unaanza siku nyingine

shabaan Dogo

Senior Member
Apr 27, 2014
197
79
Kila unapo maliza siku1 ndo kuianza siku nyingine na ndo maana unaweza ukamaliza siku nyingi na bado ukatamani zingine
Ni kwa kua unapoimaliza siku jua unayo ianza ni mpya na hii ni siku nyingine tena mpya japo siku nyingi zimepita bado nipo na ntakuwepo kwakua nakusubiria wewe.
Lini utakuja...................???

Safari yangu ni ndefu ni lazima nipate wakuongo zana nae ili safari iwe ya furaha na isiwe ya huzuni na ya ukimya!!!

Njoo tushirikiane njia
I'm witing4 U
I'm looking4 U


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom