Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
KAMA EPL LINGEKUA NI DARASA:
1. MANCHESTER UNITED ni
mwanafunzi wa kawaida tu darasani,
hua hapendi kujionesha kama ana akili
ila anapendwa sana na waalimu kwa
sababu hujituma sana katika mitihani
ya mwisho na mara nyingi hutoka wa kwanza.
Wengine hudhani hua anaoneshwa
mitihani na Wasimamizi!!!!! !!
2. LIVERPOOL ni mtoto aliyekua na akili
nyingi lakini kipindi hichi hafanyi tena
vizuri darasani ila mafanikio aliyoyapata
huko nyuma yametunzwa vizuri ofisini
mwa mwalimu mkuu na ukibishana nae
anakuelekeza uende Ofisi Kuu kuangalia matokeo yake ya nyuma.
3. MANCHESTER CITY ni toto la tajiri
ambalo hununua vitabu vya bei ya juu
lakini hua havisomi na vingine huishia
kuwaazima wengine.
4. ARSENAL ni mvulana aliyekua akiitwa
jiniasi na mwenye mwandiko mzuri
kuliko wote shuleni lakini ameanguka
sana kimasomo baada ya kuanza kuuza
vitabu vyake akidai atanunua vizuri zaidi
hivi karibuni. Pesa alizouzia vitabu ameziweka chini ya mto na kila
anazichungulia hutabasamu na kujisikia
raha.
5. TOTTENHAM HOTSPUR huyu ni
mtoto ambaye yeye hufanya vizuri
kwenye somo moja tu. Mara zote
hujaribu kushindana na jirani yake
yanaokaa dawati moja Arsenal ingawa
hajawahi kufanikiwa.
6. CHELSEA ni mtoto anayepewa kila
kitu anachohitaji shuleni na hudekezwa
sana hufanya vizuri anapopewa
anachotaka ila anapofeli humsemea
mwalimu wake kwa baba yake kua
mwalimu ndio tatizo na baba humletea mwalimu mpya mara moja.
N:B.......TOTO GANI UNALIPENDA NA LIPI
HULIPENDI
1. MANCHESTER UNITED ni
mwanafunzi wa kawaida tu darasani,
hua hapendi kujionesha kama ana akili
ila anapendwa sana na waalimu kwa
sababu hujituma sana katika mitihani
ya mwisho na mara nyingi hutoka wa kwanza.
Wengine hudhani hua anaoneshwa
mitihani na Wasimamizi!!!!! !!
2. LIVERPOOL ni mtoto aliyekua na akili
nyingi lakini kipindi hichi hafanyi tena
vizuri darasani ila mafanikio aliyoyapata
huko nyuma yametunzwa vizuri ofisini
mwa mwalimu mkuu na ukibishana nae
anakuelekeza uende Ofisi Kuu kuangalia matokeo yake ya nyuma.
3. MANCHESTER CITY ni toto la tajiri
ambalo hununua vitabu vya bei ya juu
lakini hua havisomi na vingine huishia
kuwaazima wengine.
4. ARSENAL ni mvulana aliyekua akiitwa
jiniasi na mwenye mwandiko mzuri
kuliko wote shuleni lakini ameanguka
sana kimasomo baada ya kuanza kuuza
vitabu vyake akidai atanunua vizuri zaidi
hivi karibuni. Pesa alizouzia vitabu ameziweka chini ya mto na kila
anazichungulia hutabasamu na kujisikia
raha.
5. TOTTENHAM HOTSPUR huyu ni
mtoto ambaye yeye hufanya vizuri
kwenye somo moja tu. Mara zote
hujaribu kushindana na jirani yake
yanaokaa dawati moja Arsenal ingawa
hajawahi kufanikiwa.
6. CHELSEA ni mtoto anayepewa kila
kitu anachohitaji shuleni na hudekezwa
sana hufanya vizuri anapopewa
anachotaka ila anapofeli humsemea
mwalimu wake kwa baba yake kua
mwalimu ndio tatizo na baba humletea mwalimu mpya mara moja.
N:B.......TOTO GANI UNALIPENDA NA LIPI
HULIPENDI