Vvip
Senior Member
- Apr 7, 2016
- 190
- 84
Za jioni wapendwa,natumaini nyote mko poa,kuna swali huwa najiuliza kwani unapoachana au mahusiano kuvunjika mwanamke anakuwa na shutuma na matusi makubwa kwa mwanaume aliye achana nae,ili hali alivyokuwa ktk mapenzi alikupa sifa zote,mfano nina rafiki yangu ametengana na mzazi mwenzie na sababu za jamaa kumuacha ni pamoja na kwamba,ni jeuri,mchafu,mchoyo,kumtukana mkwewe kwamba ni mchawi anawashindisha njaa wadogo wa mume,
Sasa jamaa ikabidi amuachie kila kitu akaanze maisha upya,ss mwanamke anavyomtukana jamaa kwamba ni shoga asiye na viwango,wakati amemzalisha na mtoto,mara jamaa anasura utadhani mzibua mitaro ila wakati anatongozwa hakuona hivi vyote,ila ameviona baada ya kuachwa,ushauri wangu kwa akina dada unapoona mwanaume amekuacha kaa chini jitafakari umekosea wapi then jishushe omba radhi hakika mwanaume atajirudi,na sisi wanaume tuishi na wake zetu kama marafiki coz hawa ndo faraja yetu,nina mengi ya kufundishana na kuwekana sawa,
N.B..JIPIME KWANZA KABLA YA YOTE JE HUYO ULIYEAMUA KUANZA NAYE MAISHA ATAKUWA NI FARAJA YAKO??????????,JAPO CHANGAMOTO ZIPO,KARIBUNI ,KWA HOJA ZENYE KUJENGA.