Habari Wana JF,
Mimi nina miaka 34 na watoto wawili, niliachana na mme wangu huu ni mwaka wa nne sasa, ila hadi sasa sijapata mtu mwingine hasa wa kuaminika wote ninao wapata naona wadanganyifu, roho inaniuma kuwa sina hata wakunijali na mbaya zaidi upweke umezidi! vigezo na masharti ni awe mkweli, mwenye upendo, mwelevu,mstaarabu na anaejiheshimu na asiwe tapeli wa mapenzi basi.
Nashukuru