makenze
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 356
- 217
Mi mwanamke pia natafuta wa kubadilishana mawazo haswa za kibiashara,kikazi na changamoto mbalimbali za kimaisha mkoa wowote,nchi yoyote.Kuchat na kushare mambo mbalimbali na kupeana michongo kuinuana na mambo ya namna hiyo.
Karibu mwanamke wa rika lolote,
Karibu mwanamke wa rika lolote,