Hirosy
Member
- Mar 26, 2016
- 72
- 27
Mimi ni binti nina miaka kati 24 hadi 27 yani hapa kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, aliye tayari kuwa na familia yaani baada ya kuoana na kuweza kuwa na watoto na mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujitegemea na kuja kutunza familia yake.Ambae yupo tayari kwa ndoa na sio kuzini awe tayari kupima HIV na mwenye uvumilivu.Napenda kuheshimiwa na kuheshimu pia awe na umri kati ya miaka 30 -38.
Kama uko tayari ni PM number kisha tutajuana.
Kama hutaweza kuchangia hii mada bila kumkwaza mtu,naomba upite tu.
Ahsanteni
Kama uko tayari ni PM number kisha tutajuana.
Kama hutaweza kuchangia hii mada bila kumkwaza mtu,naomba upite tu.
Ahsanteni