Natafuta mume ila awe na mtoto

babyz

New Member
Mar 30, 2016
4
6
Habari,

Nami leo nimeamua kujitokeza jamvini kutafuta mume ambae atakuwa wangu wa maisha naamini nitampata kupitia jukwaa hili.

Mimi ni binti mwenye miaka 28 muislam natafuta mume lakini awe na mtoto na awe tayari mtoto wake awe kama wakwangu tuishi kwa amani na upendo.

Sina vigezo vingi sana ila umri ni kuanzia miaka 30-35 na awe tayari kupima afya.

Asanteni
 
nina mtoto mmoja na mke mmoja, dini yangu muislam inshaallah dini yetu inaruhusu kama upo tayari ni PM tuonge zaidi
 
Habari..nami leo nimeamua kujitokeza jamvini kutafuta mume ambae atakua wangu wa maisha naamini nitampata kupitia jukwaa hili.Mimi ni binti mwenye miaka 28 muislam natafuta mume lakin awe na mtoto na awe tayar mtoto wake awe kama wakwangu tuishi kwa amani na upendo.Sina vigezo vingi sana ila umri ni kuanzia miaka 30-35 na awe tayar kupima afya na awe hajaoa ni pm kwa maelezo zaidi na kwa alie serious tu.Asanteni
una watoto wangapi mama?
 
Hapo Katika Lazima Awe Na Mtoto Ndiyo Umeniachia UKAKASI Kwani Kuna Watu Humu Labda Tuna SIFA Zote Hizo Isipokuwa Tu Tumebobea Mno KUPUNYETIKA Hivyo Bado Hatujaaliwa Kupata Watoto. Naomba Kifanyie Kazi Hicho KIPENGELE Dada!
 
Mkuu karibu hapa Nyakahura tupige mbili-tatu (kama huto-mind lakini)
 
Mkuu karibu hapa Nyakahura tupige mbili-tatu (kama huto-mind lakini)

Mimi Ni Mtu Wa Pwani Mkuu Na Hiyo Kauli Yako Kuwa Nikaribie Unipige Mbili Tatu Imenipa UKAKASI. Hebu Nifafanulie Mkuu Nikuelewe Vizuri!
 
Ni kwa sababu umejigundua wewe huna uwezo wa kuzaa wa kwako au?ni ngumu mwanamke kutunza kwa moyo wa dhati mtoto asiyemzaa ..kulikoni???na huyo mume mwenye mtoto tuseme ndio mshaoana ndani ya miaka miwili akikuletea mtoto wa miezi sita utamfanyaje???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom