Hongereni kina dada/mama....kina baba tuweni makini

benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,305
1,068
Toka nimeingia mtaani kwa kweli kina dada na kina mama ni wengi kuliko sisi wanaume. Huko mashambani nimekutana na wanawake mahali huwezi zania..ni wapambanaji. Kuanzia ijumaa mpaka jumapili hawapumziki hawa...ila ninachojiuliza zaidi huwa waume zao mko wapi? ni wachache sana utawakuta wako na waume zao...wamama wengi wako na vijana wa kazi (shamba boy)..au wenyewe.
Sawa najua kina baba mko maofini lakini hata weekend? Kaka kama una shamba, ujenzi (site) au biashara yoyote usimwache mama aende mwenyewe hata kama wewe ndio unampa pesa..... sio wote lakini najua wengi weekend mnataka kwenda kutoa stress kwenye sehemu za starehe na washkaji..... beba vinywaji vyako utanywea huko shamba.
Huku mtaani si salama kabisa kumwacha mama ahangaike mwenyewe...kunamafisi balaa.
 
Back
Top Bottom