Wanaume kuungana katika hili

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
990
WANAUME TUSHIRIKI KATIKA SALA HII YA KUWAOMBEA WANAWAKE ...

1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi.
- Tuhurumie Baba

2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke!
- Baba, ni magumu kwetu mambo haya.

3. Anakasirika ukikosa kumtumia text ya good night lakini yeye akikosa wewe inabidi uwe muelewa!
- Tuwaeleweje, Baba?

4. Ana viatu zaidi ya pea 50 lakini hana viatu vya kuvaa vya kwenda ibadani.
- Mungu uwasamehe

5. Akianza kuvaa saa moja atamaliza saa tano muda wote inabidi umsubiri tu.
- Si kupenda kwao Baba ila nasi yanatushinda Bwana

6. Akienda saloon anakaa kuanzia asubuhi mpaka jioni na huna budi kumsubiri na usilalamike.
- Mungu wetu, tupe moyo wa kuyahimili haya

7. Ana mafuta tofauti ya kujipaka mikono, shingo, kisogo, miguu, mpaka kisigino! Hata Mdomoni
- Ee Mungu ni Wewe uyajuaye mateso tuyapitiayo Baba

8. Mnaachana asubuhi akiwa na furaha, na ukirudi jioni amenuna hataki hata kukusalamia na ukiuliza tu balaa.
- Tupe uvumilivu ee Bwana!

9. Anajaribu ku match nguo na hereni na akiona hazifanani abadili nguo sababu tu ya hereni.
- Teremka uwashike mikono yao baba..

10. Mkitembea barabarani inabidi ukae upande wa barabara eti wewe ni mwanaume ukigongwa na gari haina noma.
- Eeh baba tuepushe na Hiki kikombe ulisema hawa ni wasaidizi wetu lakini tumekuja kuwa wafanyakazi wao.
 
Yote hayo nayavumilia ila kipindi cha mimba saa nane usiku anataka pemba sasa sijui zinauzwa night club maana hata super market huku kwetu zinakuwa zimefungwa.
 
10. Nilimwambia mama jiandae kesho tunaenda kw kaka mkubwa nikakutambulishe, mpaka kesho yake narudi toka job ndio anaenda saluni.
Ee bwana tuhurumie.
11. Nilikasirika sana, nikajipa moyo nikavaa nikamaliza yeye alivaa kuanzia saa nane hadi saa kumi huku niko sebureni namsubiria.
Bwan turehemu

12. Ukitembea naye njiani kila wakati anakuangalia usoni kama utawaangalia wanawake wengine.
Bwana ututie nguvu.
13.ukiendekeza kumsaidia vikazi vya nyumbani kama kuosha vyombo, kufua nguo na kupika basi hukukabidhi rasmi jukum hilo.
Bwana tujalie hekima.

14. Ukimtumia msg akiwa nyumbani mpaka umarudi jioni msg ile haijasomwa wala kufunguliwa.
Wee bwana wape mwanga hawa.

Back
Top Bottom