Am looking for a man to be my life partner

miss ToD

Member
Dec 20, 2015
77
20
Hello everyone

A man who seriously wants a wife pls pm me so that we can start the journey.

I am a lady of 26 years
Born again Christian
Sukuma from Mwanza
Secondary school teacher
Currently living in Arusha
Height-5.6 ft

A man should be a Christian
Not less than 32 years and not more than 40
He should be more than 5.6feet
Employed or having a good income
Good looking ie smart in and outside
Any tribe
Asiwe na mtoto au asiwe divorced

Anyone interested pls pm me
 
Employed?Kuna houseboy wa Diamond ana kipato kizuri,Alafu eti mrefu,kwani we mrefu,Wasukuma bhana kila pahala mnajitambulisha kisa jamaa yupo magogoni!
Hivyo ni vigezo vyangu mkuu lazima awe employed au aliejiajili kila mtu na preference zake. Mimi huwezi kuniweka kwenye kundi la wafupi
 
Dah hapo kigezo cha age tu ndo kimenitupa aisee.Niko below 32.
Kama unajichubua usini-pm

Cheki na mchina hawezi saidia kweli Kuongeza hata kidogo kaumri uweze kufikia vigezo vya mwalimu ubebe zigo nasikia hawa jamaa hawashindwi kitu.
 
  • Thanks
Reactions: me1
mrembo, njoo tupange malengo, nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo.
unaonekana kama mji wenye upendo,
unafanana na mtu alechoshwa na mwendo,
so niku-pm namba yangu nipigie wikendi,
moyo unasema mchukue huyu miss yuko stend,
vile anavohema siyo kama mtu hapendi,
anauelewa mziki ila anahofia kucheza,
anasema nna lugha chafu meshakua kifimbo cheza..
njoo njoo kwangu madam, i want to be a real man..
%%REAL MEN MARRY TEACHERS%%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom