Mtoto wa mama wa nyumba

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Ni ijumaa jioni jua likiwa linazama na miale yake kuanza kufifia kwenye jiji la Arusha. Natoa leso mfukoni na kisha kujifuta jasho baada ya kutembea umbali mrefu stendi kuelekea pango langu, Nmeingia pangoni nawasha feni lakini cha ajabu napatwa na simanzi kutambua umeme umekatika na hivyo natoka na kiti na gazeti ili nikae nje nipumzike nijisomee, nikiwa nimepiga nne nikifatilia gazeti ghafla umakini wangu wote unapotea napoamkiwa " Shikamoo" kufumba na kufumbua najibu marhaba iliyoambatana na kigugumizi, sikuamini nachokiona ni kiumbe ama malaika aliekuwa anaelekea kuoga ,nilishusha miwani yangu kidogo kujionea maajabu na kutathmini alivyojaaliwa nyuma huyu kimanzi aliekuwa ni mtoto wa mama mwenye pango nalokaa, baada kama ya dakika 15 hivi nikiwa namsubiria kwa udi na uvumba amalize kuoga, Mlango wa bafuni akaufungua kwa Mara ya pili mtu mzima akili zangu zilivurugika, kanga take iliyolowa na maji ilichoresha kila kona na kusema kweli mtoto kabarikiwa body hasa angle za makalio yalionifanya nijiulize ni tetemeko ama tikisiko pale alipoanza kutembea kuingia ndani kwao, Mungu wangu nataka kuendelea kusoma gazeti kumbe nlikua nmegeuza juu chini Huyu mtoto anatoa roho yangu,.......itaendelea
 
Mnakurupuka na vistory vyenu vya kutafuta comments ndo maana lara1 atazidi kua juu hana uswahili ka huu
 
Hizi kazi zina wenyewe mkuu karibu tena. Story jf lara1 Ana mpinzani za udaku kuna msaga sumu lazima ucheke au uifatilie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom