JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,760
- 10,488
Wadau, mi ni mshamba kidogo wa maeneo ya kudatia.
Hapa nina miadi na mtoto wa kishua, amenambia nimtoe out tukapige story ila sasa sijui nitampeleka wapi? Mtoto anarudi kutoka ma mtoni week ijayo.
Msaada haraka maana sijuia pa kwenda.
Ila pawe cheap kidogo maana sina mkwanjwa. Na iwe rahisi kufika hata kwa daladala. Iwe sehem tulivu ambayo nitapia nae story hata masaa matano.
Lengo langu badae awe mchumba.