Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 10,488
- 29,689
habari ya leo ndugu, naombeni kujuzwa jinsi ya kupeleka barua ya posa kwa wanyaturu.
nitazamia wikii hii kuenda kuomba idhini ya kumuoa dada mmoja, niliambiwa nilazima niende na barua kwa mujibu wa taratibu za makabila yetu hapa Tz. mi nilikuwa natazamia kuenda na kaka yangu,sasa ninaweza kuenda tuu bila barua au ni lazima? maana natoka mbali na niaingependa nirudi mara mbili. nwatakieni siku ilio njema.