Mchumba mwanadada unafutwa

mbongokazi

Senior Member
Dec 31, 2015
110
23
Umri miaka 25 hadi 28
Elimu Digrii ya kwanza au ya pili
Awe mjasiriamali au mwajiriwa
Awe mkazi wa dar
Awe na upendo wa dhati.
Asiwe na mtoto.
Awe na afya njema awe amepima ukimwi na magonjwa ya zinaa!
Ni PM unipe namba yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom