Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wandugu
Kuna siku nilikuwa kwenye gari na kaka yangu mwenye umri wa miaka 38,sasa kuna mtaa tukikuwa tunapita katika hiyo mizunguko yetu sasa kwa mbali tukamuona binti wa kidato kama cha tatu au cha nne akawa anakuja sasa bro ikabidi apunguze mwendo aanze kumuongelesha yule binti ila lengo lilikuwa kumuapproach,baadaye yule binti akawa kama anasita fulani hivi nikamwambia bro aachane naye kwani yule ni kama mtoto wake maana ana mtoto wake naye yupo form 3 wa kike akanijibu dogo acha ujinga ww mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio,aisee nilishangaa sana......hivi hili suala la mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio lina mantiki kweli maana ye bro ni yanki tu bado damu inachemka