Heshima kwenu wakuu,
Nina kaka yangu ana mke na huyu wifi yangu ni mke mzuri kwa kweli kila mtu wa familia anampenda ikiwemo mimi binafsi kutokana na tabia zake njema na zisizokera.Kaka yangu...
Katika dada 10 utakaokutana nao iwe kwenye matembezi, sehemu za starehe au nyumba za ibada au hata kwenye mabasi ya mwendo kasi, kati ya hao 10 basi 8 kati yao wamejazia haswa huko nyuma yaani...
Wasalaam,
Hope ninyi wazima na kama kuna mgonjwa bas Bwana ampe afya njema.
Kilichonifanya niandke hii thread ni kwa kusudi jema tu la kutaka tukumbushane mambo kadha wa kadha hususani katika...
Habari za Jumamosi ndugu wanajukwaa,
Ninaomba kwenda kwenye swala langu kama ilivyotambulishwa na kichwa cha habari hapo juu. Kwanini watu wengi ni wagumu kuomba msamaha hata baada ya kuelezwa...
Dr Mwaka,
Nimeisoma article yako ambayo umehusisha usaliti wa ndoa[mahusiano] na umalaya.
Nilitarajia kwa mtu kama wewe ungetueleza[elimisha] kwa nini hali hii hutokea.
Jee wanaume kwa hulka yao...
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona...
Watanzania wengi hawafahamu kuwa mawazo yao ndio yanao waendesha.
namna unavyoiseti akili yako ndivyo hisia zako huwa.
mfano wewe ukijiona dhaifu, mtu wa kukata tamaa basi ndivyo utakavyokua.
yani...
Habari wana JF,
Kiufupi ni kwamba nilikuwa na mpenzi Glady tuliyefanya mengi kipindi tunaanza hayo mahusiano ila baada ya miezi miwili nikakutana na dada mwingine Anna ambaye nilimuheshimu na...
Habarini wana MMU,
Kumekua na wimbi la kutupiana lawama kati ya wanaume na wanawake kwa kila mmoja kumlalamikia mwenzie kwenye mahusiano ya kimapenzi mpaka ndoa pia mfano wanaume wanalaumu...
Katika pita pita zangu hii leo ni mara ya pili kusikia kitu kama hiki. Kwa mara ya kwanza nilisikia katika vijiwe vyetu.Lakini leo nimeshuhudia Mjomba akimwambia mpwa wake...
" Eti mwanaume...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!
Wale wazee wazee wa nyanda za juu kusini, wazee wa ndumba, wazee wa kudumisha mila ama wazee wa kupulizia katika kusaka mahela wazua...
Natumaini muwazima ....
Natafuta mwanamke nitayeanza nae mahusiano then nimuoe ,..Nina miaka 30, mwanamke asizid miaka 27 ...elimu ya kidato cha nne na kuendelea ....dini kabila rangi sibagui...
Pengine ule msemo kuwa pesa haiwezi kununua furaha una ukweli zaidi ya hata unavyofikiri.
Hii ni kwasababu kuna tafiti nyingi zinazohitimisha kuwa utajiri na furaha si vitu vinavyoendana kama...
tukiangalia kwa sasa kuna ongezeko kubwa la mashoga watu tumekuwa tukiangalia sababu nyingine zinazosababisha hii kitu lakini kuna kubwa ambalo linasababisha ushoga kuenea kila kukicha tena kwa...
Muda sahihi wa kupata mwenzi mpya, baada ya kuachana na wa zamani inafaa mtu atulie kwa muda gani kwanza?
Umeleta mada nzuri ila umeshindwa kuijazia wigo sahihi ili wachangiaji wakupe jibu...
Watoto wangu wanahangaika, Mungu nipe uvumilivu, maisha yangu yapo mashakani Mungu nipe uvumilivu, walionizalisha wamenikimbia ee baba nipe uvumilivu
Baba, baba yesu nipe uvumilivu, bwana, bwana...
Mnamo mwaka jana May 24,2015 nilipandisha uzi uliokuwa unasomeka hivi!.
Wakuu salama.
Kipindi nipo form five,nilipata demu mmoja hivi tulie kuwa tunalingana nae hakika tulipendana sana. Baada ya...
Habari wapendwa;
Mfano Tukio kama hili likakutokea utafanyaje?
Kuna jamaa mmoja jina lake “Z” ambaye anaishi mtaa wa tatu kutoka mtaa ambao dada yake “X” kaolewa huko anayeishi na mmewe “Y” ...
Jana nilisalitiwa na mke wangu mama neema. Tulikwenda kumfumania nikiwa nipo na wazazi wake na baadhi ya ndugu zangu.
Tulipo fika huko kweli tulimkuta mke wangu yupo na yule jamaa wa TANESCO...