Najua ulijaribu kujifunza lugha mbali mbali lakini hauwezi kulinganisha na lugha ya wanawake hata siku moja , utakubaliana na mimi kwamba maneno mengi watakayo kuambia wanawake katika lugha yao ni...
Happy 26th Anniversary to me and my lovely wife Theodora.
I pronounce goodness and mercies shall follow us all the days of our lives and the Lord shall be our provider, we shall not want. We are...
Wadau habari ya asubuhi, natumai kumekucha salama huko kwenu. Kuna kijitabia kibaya sana kimeibuka na watu wamekifumbia macho sjui wadau mnalionaje hili:
1. Mtu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na...
Nianze kwa kuwapa pole na mihangaiko ya siku nzima..
Wana JF kuna jambo hua nakosaga jibu kabisa pengine mtaweza kunisaidia..
Kwanini unakuta mwanamke anafanya kazi yake nzuri tu na ana kipato...
Mtarajiwa anatoa majibu ambayo yananiweka njia panda. Yaani naweza kusikia skendo mbaya kuhusu yeye nikimuuliza ananijibu "Hakuna kitu".
Kwa wazoefu, jibu hili lina maana gani? Kwanini asijibu...
Habari zenu marafiki zangu.
Hivi mtu unamuachaje mpenzi wako muda wa kazi, kabisa unajitutumua unamwandikia mpenzio message ya kusitisha mchana.Au mwingine muda mwingine wa kutoka kazini unajua...
Members ya JF Nawasalim.
Mimi ni kijana. Umri wangu haujavuka miaka 30. Naomba Ushauri wenu katika hili....
Kwa kipindi kirefu nimekuwa kwenye jitihada binafsi za kubadilisha sehemu kubwa ya...
Habari wanaJamiiForums,
Natumai Jumapili yenu iko vyema.
Hebu wanaume tuulizane kwa maisha tunayoishi na hawa wanawake hawa wa kisasa sasa hivi bila mfumo dume mambo yangeenda kweli?
Hichi kitu nimekiona kama kwenye harusi mbili, bibi harusi anatembelea magoti kupeleka keki kwa wakwe na kwa wazazi wake unajidhalilisha, kama una ndugu au rafiki aliye karibu kufunga ndoa...
Wanasaikolojia wengi na washauri wa ndoa watakubaliana na mimi kwamba sex ni jambo muhimu sana katika mahusinao,ukweli ni kwamba sex ni lile jambo ambalo unafanya na mpenzi wako tu na siyo mtu...
Langu mimi ni hili,
Wadada please & please! Mkipendwa mpendeke. Money is not love, thamini uwepo wa mwenzako.
Yaani hadi stress nani utamuoa. Every girl is putting money first, very...
Habarini,hiki kitu kimenishangaza sana nikaona nikilete hapa jukwaani..hivi inawezekana kwa mwanaume kuishi na mwanamke usiempenda kama wanandoa au mwanamke kuishi na mwanaume usiempenda kama...
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa...
Habarini. Nina swali kwa wanaume.
Huwa kuna kitu mnakuwa mmekisahau kwa ma ex zenu? Kwa mfano mimi kila ex wangu lazima arudi, oohh nimekumic wakati kipindi tuko kwenye mahusiano most of them...
Habarini wanajamvi!
Katika harakati za hapa na pale nilikwaruzana na mpenzi wangu, ofcourse nilimpenda nae alinikubali japo sikumwamini sana na ishu ya kuzinguana ni kwasababu alimtukana mtu...
Maisha haya bhana acha tu, kila mtu anatembea akiwa na yake kifuani,kichwani na moyoni! Hasa kwenye swala la kuoa/kuolewa.
Unampenda John ila utaolewa na Juma, kwa sababu Juma ana maisha mazuri...
Nimekuwa nikipata sana wake za watu katika mahusiano kuliko wasichana ambao hawajaolewa.
Hii hali imeanza kuniogopesha sana.mara kwa mara hata tukutane na mdada iwe popote pale na nikimtongoza...