benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,068
Hichi kitu nimekiona kama kwenye harusi mbili, bibi harusi anatembelea magoti kupeleka keki kwa wakwe na kwa wazazi wake unajidhalilisha, kama una ndugu au rafiki aliye karibu kufunga ndoa mshauri asifanye huo ujinga. Kupiga goti moja inaeleweka lakini kuburuza magoti kwenye sakaru ni kujidhalilisha. Na ukizingatia wanaume wenyewe ndio sisi hatutoshi.