mugumu11
Senior Member
- Jun 22, 2016
- 113
- 56
Wanasaikolojia wengi na washauri wa ndoa watakubaliana na mimi kwamba sex ni jambo muhimu sana katika mahusinao,ukweli ni kwamba sex ni lile jambo ambalo unafanya na mpenzi wako tu na siyo mtu mwingine yeyote.
Ukweli ni kwamba sex huondoa stress, hupunguza hatari ya kupata kansa, hupunguza maumivu katika matatizo mengi na afya kwa ujumla, muhimu zaidi ngono ni njia pekee ya kuzaliana kuendeleza vizazi vya binadamu.
Pia tunaweza kusema sex ni amaisha wajanja town leo tunakuchambulia mambo yanayofurahisha na kushangaza kidogo kuhusu sex.Hapa kuna mambo kadhaa kuhusu sex ambayo kwa namna moja ama nyingine haukuweza kuyafahamu.
1 Mshindo (orgasm) kwa mwanamke hudumu kwa wastani wa sekunde 20 ambayo ni mara 40 zaidi ya mshido wa mwanaume.
2 Baadhi ya wanawake hufika mshindo (kileleni) wakati wakuzaa.
3 Ni binadamu, jamii ya nyani na papa, hawa ni wanyama pekee wanaofanya sex kwaajili ya burudani.
4 Ni kiwango cha vijiko viwili vya damu huitajika ili kuufanya uume uweze kusimama.
5. Japokuwa watu wengi hufanya maumivu ya kichwa kuwa kigezo cha kutofanya sex lakini ukweli ni kwamba sex hupunguza maumivu ya kichwa.
6 Utafiti unaonyesha kuwa 95% ya wanaume wanaokufa kwa mshtuko wa moyo wakati wa kufanya mapenzi walikuwa sio waaminifu kwa wake zao.
7 Mwanaume na mwanamke, huwa na wastani wa mapigo 140 ya moyo kwa dakika wakati wanapofika kileleni.
8 Katika Baadhi ya jamii, matumizi ya maparachichi yamekatazwa kwa mabinti ambao ni mabikra kwasababu inanguvu kubwa katika hamu ya kufanya ngono.
9 Ishara ya kwanza katika historia kuwa binadamu walitumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi ilikuwa ni michoro katika mapango huko ufaransa inasemekana ilikuwa ni takribani miaka 1000 na 1500 iliyopita.
10 Katika maisha yake yote mwanume hutoa shahawa mbazo hukadiriwa kuwa na jumla ya ujazo wa lita 17 ambapo ni sawa mbegu za kiume nusu ya tilioni moja.
11 Ni asilimia 5 tu ya watu duniani hufanya ngono kila siku wakati asilimia 20 hufanya mara 3-4 kwa wiki, idadi iliyosalia haifahamiki.