Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuriii afu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa , kwenda zako uko ...
Haupo sahihi,nani yupo responsible katika kuhakikisha mwanamke hazalishwi? Kwa nini mwanamke usisingatie kalenda wakati wa kujamiiana? Amua kuzaa ukiwa tayari ndani ya ndoa otherwise inakula kwako,Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuriii afu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa , kwenda zako uko ...
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuriii afu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa , kwenda zako uko ...
Sema haki ya Mungu.
Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa, kwenda zako uko.
Aiseee....!! Kumbe huwa wanazalishwa?? Si walishirikiana wote katika tendo, tena mwanamke akakata na maunu kwa bidii zote na kilio cha uwongo juu!!
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa, kwenda zako uko.
Sema haki ya Mungu.
Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.
Na ukikuta ameshampa mimba?
Sema haki ya Mungu.
Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.
Haya ni maisha kila jambo linaweza kututokea. Kiukweli nalichukia sana hili neno ''Kujikuta''
Kwa upande mwingine tuwafikirie hawa wenzetu... Kama ni good time, umfanye ajue hivyo, kama ni matarajio ya ndoa ajue hivyo.. kama hujui pia mweke wazi. usimwaminishe binti wa watu kuwa utamuoa then unakuja kumgeuka mwishowe.
Nimejifunza pia siku hizi kutokana na kiu (desperation) ya ndoa kwa wadada wengi... wanaume wanatumia hio ahadi ya ndoa kama chambo cha kuwapata mabinti. Binti zangu kuweni makini sana zama hizi ni za uovu.
Kama amesimama na mtoto wa rugemalila?
Nadhani utamwambia kijana endelea kuwa na binti yangu lakini itakuwa busara kufuata utaratibu(in polite voice)
Sema haki ya Mungu.
Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.