Wadada tafadhali, mkipendwa mpendeke

Jun 21, 2016
19
37
Langu mimi ni hili,

Wadada please & please! Mkipendwa mpendeke. Money is not love, thamini uwepo wa mwenzako.

Yaani hadi stress nani utamuoa. Every girl is putting money first, very 'moneyloving'. Where is True Love now?

Aah! The world of Beasts! I can't tolerate this!
Wadada mbadilike.
 
brother hemedi kwan ushavurugwa nin? au kuna mbabe kakuzid ana kisu kikal kuliko wewe
 
Dunia imebadilika ndugu. Tafuta pesa ndo utafute penzi. Hivi huoni hata ukiwa huna hela hamu ya mapenzi inapotea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom