Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wana jukwaa, Natumai mko poa. Bila kupoteza muda niende kwenye ujumbe tajwa hapo juu. Kuna Dada ambaye ni rafiki yangu wa karibu kwa kipindi kirefu sasa tumekua kama ndugu. Tumekua...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa. Mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano...
5 Reactions
101 Replies
10K Views
Nimeolewa miezi miwili iliyopita. Kabla sijaolewa huyu jamaa tulikuwa tunakutana mara chache chache sana. Na tulijuana miaka mitatu kabla ya ndoa. Na pia kwa kipindi chote tulikuwa tukisex...
9 Reactions
423 Replies
106K Views
Kijana wa kizungu alikuja kuwakilisha mada UDSM kama moja ya hitimisho la PhD programme. Wakati yuko pale alikutana na binti wa kibongo, mwanzo ulikuwa urafiki, kwani mzungu alipata shida...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Habarini, Kama tunavyojua sisi wanaume sometimes unaweza ukabashiri with 100% accuracy kuwa mwanamke anakutaka kimapenzi kutokana na ishara anazokuonesha, na ikawa ndo hivyo. Back to the point...
3 Reactions
73 Replies
10K Views
Za ukosefu wa sukari wakuu, Binafsi napenda jina langu na najivunia kuwa nalo,vipi wengine kuna raha yoyote ya kujivunia jina? Kama ipo kwanini watoto wanaendelea kupewa majina ya hovyo hovyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za hapa wana JamiiForums, Mimi ni kiijana ambae nina tatizo la kutojiamini kutongoza wasichana hasa mida ya mchana lakini ikifika usiku naweza kutongoza vizuri tu japo bado nakuwa...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
*WANAUME JINGA KABISA...Kumbafff...MADEM WAMECOMPLAIN HAWAPEWI KILE WAENDEACHO!!!! DEM AMETOKA MBALI KUJA KWAKO!* 1.Ndio hio wewe...unakimbia kimbia na machupa ya soda...nani alikuambia alikuja...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Maisha ya maigizo yapo sana mitaani. Kwa mfano unakuta mtu yupo radhi anunue simu ya milioni moja ili tu aonekane na yeye ni class la juu. Au anunue gari ili watu wamuone ana gari, cha ajabu...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari rafiki najitahidi sana kuamini kuwa wanaume ni wazuri ila kila kukicha naona hawa viumbe ni wanyanyasaji, wabinafsi, hawana utu, wauwaji, wabakaji, wanyaganyi, wauwaji, roho mbaya...
31 Reactions
390 Replies
31K Views
Tuna mahusiano ya mwezi 1, nilikutana naye nilivyokwenda kumtembekea classmate wangu ofisini kwake, sasa juzi alhamis nikaanda kalaki, nikasema tutoke. Tukakaa sehemu sehemu tukapiga vyetu...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jf, Ni moja ya rafiki zangu ni kijana mkimya, mpole, mcha Mungu, ana heshima na mpiganaji katika kutafuta maendeleo, katika pilika pilika zake Mungu akampa binti mzuri, mpole...
15 Reactions
293 Replies
38K Views
Kumekua na hii tabia ya baadhi ya wanawake kupenda kuomba hela kutoka kwa wapenzi wao, huwa najiuliza tatizo ni nini? Wao wanahisi sisi wanaume tunapata wapi hizo hela wanakoshidwa wao...
13 Reactions
325 Replies
59K Views
Habari wanaJamiiforums, Kichwa cha habari cha jieleza. Leo nataka kuwakumbusha ninyi wanaume wa dot.com na wazamani msiojitambua bado na kulalama lalama tu, unakuta mwanaume amekaa kabisa...
25 Reactions
281 Replies
22K Views
Habari zenu wana JF, Hali ya hewa leo duh! na waume zetu wa Dar es salaaam waoga baridi kama nini? utasikia leo "baby njoo basi unaona hali ya hewa" ukikataa leo na weekend hii kibuti kinakuhusu...
6 Reactions
189 Replies
20K Views
Natambua uwepo wako humu ndani ya JF, Soma tuu maana hamna jinsi asome! Tumekuwa nae kwenye uhusiano hadi kufikia kutambulishana kwa wazazi, Mungu si athumani akapata ufadhili nchi za wenzetu...
2 Reactions
78 Replies
8K Views
Naomba kuuliza jamani mahana hawa wanawake nashindwa Ku waelewa hiv tabia ama matendo ya mwanamke anae kupenda kiukweli niyapi? na muongo ni yapi?
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Mama huyo anasema alitamani message hiyo iwe kama mpira ili aione airukie na kuishika isiende maana ile ame-press send button ndo akagundua alikuwa anamtumia mume wake na si hawara yake kama...
9 Reactions
148 Replies
15K Views
Leo kuna jamaaa alikuwa anamsumbua wife kiufupi hajui kujieleza manake yeye mara amwambie anataka amtoe out weekend hii, sasa tena anamtaka aende night club muda huu wa usiku so wife kaniambia...
3 Reactions
141 Replies
9K Views
Wadau, Jumapili iliyopita niliamua niende bar moja hapa maeneo ya Kimara Korogwe, kwasababu situmii pombe, niliagiza grand malt ya baridi nikawa nainywa, katika bar hii kuna mfanyakazi mmoja...
4 Reactions
89 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…