Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ujana ni nusu ya uwendaazimu ila mimi nasema hivi ujana ni wendaazimu kamili maana utakuta mtu enzi za ujana wake anajihusisha na mahusiano na mabinti tofauti tofauti akisha wapa ujauzito...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna ndugu wanao share jina la ukoo ila hawa share upendo wala faraja,kuna ndugu asiyependa mtoto wa mama yake mdogo afanikiwe ,pia kuna mama mdogo anayefurahia mtoto wa dada yake kuachika...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wapendwa wana JF mim nina tatizo kubwa sana linanitatiza...maisha yangu ni ya kawaida sana ila nina bahati ya kupendwa na wadada ambao nikiwahesabu tangu nianzishe mahusiano nao naona...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Kuna mwanaume anayefanya kazi kwa kujituma na kidogo anachokipata hurejesha nyumbani kwa mkewe ili kuweza timiza matumizi ya lazima kwa ajili ya familia na malezi ya watoto.Baadhi ya wanawake...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika na nyingine migogoro haiishi, lakini siku tunapata muda wa kuwachunguza wenzi wetu kabla ya kuoana, je, tunakosea wapi, mbona zamani watu walioana hata hawajuani...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Sifa zangu kama ifuatavyo, mnyenyekevu, muislam, nina bachelor degree nina umri 25+yrs. Nahitaji mwanamke kwa aliyetayari kuolewa, awe na sifa zifuatazo Awe muislam. Awe na elimu ya kuanzia form...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapana shaka wakuu swali hili litajibiwa na wanandoa haswa. Lengo la swali hili ni kupeana uzoefu wa changamoto zinazotukabiri katika ndoa zetu. Swali la msingi ni changamoto gani uliwahi...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Nianze kwa kumtakia RIP, kwani hatunae katika uso wa ardhi. Si mara moja au mbili, ni mara nyingi Baba yangu nikiwa tumekaa nae zama za uhai wake, alikua akiyarejelea maneno haya :-...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Baada ya muda mrefu ya kuwa mbali nimeonana na baba mzazi.Amefurahi sana na tumeongea mengi sana.akaniambia haya yafuatayo. 1.Mwanangu umekua fanya kazi kwa bidii Sanaa. 2.Tafuta mwenzako wa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna ndugu wanao share jina la ukoo ila hawa share upendo wala faraja,kuna ndugu asiyependa mtoto wa mama yake mdogo afanikiwe ,pia kuna mama mdogo anayefurahia mtoto wa dada yake kuachika kwenye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Aje aje wadau, Daah! Mapenzi bana kweli ni ubunifu lakini sio kwa ubunifu huu ulionitokea mimi, sitaki kubwabwaja sana kama lara.. Ipo ivi kuna mtoto wa kike nimekuanae kama miezi kadhaa hivi...
4 Reactions
65 Replies
20K Views
Habari za jumamosi wanajamii Jumanne ya wiki hii nilikuwa pande hospital malaria ilikuwa inanisumbua kiaina sasa nikawa nimetulia sehemu nasubiria majibu kutoka maabara. Mara wakatokea mabinti 3...
12 Reactions
90 Replies
9K Views
Wana JF, Wiki hii ni ya maajabu baada ya kumaliza bunge la bajeti, watu wengi wanaanza kurudi sasa makazini kwao. Kuna baadhi ya wanawake wamebuni mbinu mpya ya kutega wanaume, zile nguo za...
8 Reactions
90 Replies
15K Views
Habarini wana JF, Iko hivi mama baba walifariki wakaacha mtoto mmoja mali walizoacha marehemu baadhi ya mali zikauzwa ikabaki nyumba msimamizi mkuu wa hiyo nyumba akawa babu ambaye ni baba wa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu kuna huyu kaka ni mwigizaji wa nchi za nje naomba nisimtaje nimetokea kumpenda kiasi nikimuona tu anaigiza, picha zake chupi inakua inalowa bila kukusudia nampenda nikisikia...
4 Reactions
164 Replies
16K Views
Tumia dakika chache kufanya uamuzi na siku nyingi kufanya utafiti.Wanaume wengi wanaongoza kwa kuhonga huwa na mkono mfupi wa kuhudumia familia zao pamoja na kuwajali wazazi wao. Ni kazi rahisi...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya kuanza mwaka nilijiwekea malengo ya kuachana na mademu zangu wote kwani walikuwa washakuwa majipu makubwa sana kwa gharama walizokuwa wanatafuna na uwekezaji wangu ukahamia kwa madada poa...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Ndugu Wana jf, Naomba nianze kwa kusema; "Wanawake mwalimu wao kipofu" Hivi kwa mwenye kujielewa, unashindwaje na vishawishi vidogo vidogo au tamaa ya siku moja ikakufanya uharibiwe malengo yako...
4 Reactions
72 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…