Hivi vivazi vipi? Mmeamua kuijaladia Makusudi

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,772
7,141
Wana JF,

Wiki hii ni ya maajabu baada ya kumaliza bunge la bajeti, watu wengi wanaanza kurudi sasa makazini kwao. Kuna baadhi ya wanawake wamebuni mbinu mpya ya kutega wanaume, zile nguo za mazoezi almaarufu kama skini taiti sasa zimebadilishawa kuwa kivazi rasmi hadi kufikia kuivaa na top.

Hawakuishia hapo, wameamua sehemu ya mbele kwenye mali wanajaza bonge la pampas au pamba ili kutunisha uvimbe fulani. Unakuta mtu anatembea kama hana habari anakatisha mitaani kila mtu anaangalia jipu lilivotuna. Huu si uchokozi jamani, kwanini mnaharibu swaumu za watu au kwanini mlazimishe, si mwende tu huko baharini wapo wakale kibao kuliko kuja mjini kuvuna matusi na mishangao.

Ni hilo tu wakina dada wajistiri jamani.
 
Kufunga Ramadhan mji kama Dar au Mwanza sio lelemama unaweza kutamani ucpoji control
 
Wana JF,

Wiki hii ni ya maajabu baada ya kumaliza bunge la bajeti, watu wengi wanaanza kurudi sasa makazini kwao. Kuna baadhi ya wanawake wamebuni mbinu mpya ya kutega wanaume, zile nguo za mazoezi almaarufu kama skini taiti sasa zimebadilishawa kuwa kivazi rasmi hadi kufikia kuivaa na top.

Hawakuishia hapo, wameamua sehemu ya mbele kwenye mali wanajaza bonge la pampas au pamba ili kutunisha uvimbe fulani. Unakuta mtu anatembea kama hana habari anakatisha mitaani kila mtu anaangalia jipu lilivotuna. Huu si uchokozi jamani, kwanini mnaharibu swaumu za watu au kwanini mlazimishe, si mwende tu huko baharini wapo wakale kibao kuliko kuja mjini kuvuna matusi na mishangao.

Ni hilo tu wakina dada wajistiri jamani.
Hawajazii na taulo au pampas,hayo ni mavuzi nasiku hizi umasikini umezidi,kununua gillete pesa hamna.
 
Back
Top Bottom