youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Ndugu Wana jf,
Naomba nianze kwa kusema; "Wanawake mwalimu wao kipofu"
Hivi kwa mwenye kujielewa, unashindwaje na vishawishi vidogo vidogo au tamaa ya siku moja ikakufanya uharibiwe malengo yako ya baadae?
Haiwezekani ukaishi na mtu kwenye uhusiano for a long time na isitoshe amekuwa tegemeo lako kwenye mambo mengi leo hii unaamua kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Sasa huyu daya yake nasitisha kutoa ushirikiano wowote ule kwake, iwe kifedha, kimawazo na nyinginezo nataka kuona mwisho wake, ila sitaki kumwambia kama namuacha.

Last edited by a moderator: