Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Habarini wana JF,
Iko hivi mama baba walifariki wakaacha mtoto mmoja mali walizoacha marehemu baadhi ya mali zikauzwa ikabaki nyumba msimamizi mkuu wa hiyo nyumba akawa babu ambaye ni baba wa marehemu baada ya muda babu nae akafariki,hapo sasa msimamizi akawa baba mkubwa na bibi pamoja na binamu yani mtoto wa shangazi mtoto wa marehemu ambaye sahivi amekuwa mtu mzima ana umri wa miaka 22 buy ahusishwi chochote katika mali za wazazi wake,hivi katika hao ni yupi anastahili kuwa msimamizi wa hiyo nyumba kisheria?