Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari za jumamosi wanajamii
Jumanne ya wiki hii nilikuwa pande hospital malaria ilikuwa inanisumbua kiaina sasa nikawa nimetulia sehemu nasubiria majibu kutoka maabara.
Mara wakatokea mabinti 3 masista duu kinoma wakaja karibu na nilipokuwa nimekaa hata hawakunisalimia wakawa wametulia ila nahisi lengo lao lilikuwa kupata matibabu inaonyesha mmoja kati yao alikuwa anaumwa sasa pakuanzia ikawa shida inaonyesha sio wazoefu sana pale hospitali.
Tatizo likaja waanzie wapi sasa wakawa isitoshe hawajasalimia mtu yeyote pale walipoingia ndani wakakuta manesi wametulia sehemu wakawaulizia wanaanzaje manesi wakawaambia nendeni nje mkaulizie utaratibu kwa wenzako uliowakuta hapo nje watakuelekeza unaanzia wap na unaishia wapi.
Sasa kimbembe kikaanza hawajasalimia mtu yeyoye wakawa wanajistukia kwa kuona aibu waanzaje kutuulizia maana walikuja kwa mbwembe balaa.Huwezi amini waliondoka bila kutibiwa kutokana na nyodo zao.
SOMO-salamu nikitu muhimu sana hasa nyie wakina dada acheni nyodo hata ni wazuri kusalimia sio kwamba kutapoteza uzuri wako, mnaringa sana utafikiri labda mna maisha mazuri sana acheni nyodo kwa watu msiowafahamu mtakosa vitu vizuri maishani.