Baada ya kuanza mwaka nilijiwekea malengo ya kuachana na mademu zangu wote kwani walikuwa washakuwa majipu makubwa sana kwa gharama walizokuwa wanatafuna na uwekezaji wangu ukahamia kwa madada poa na mambo yangu ya msingi, huduma ya madada poa ni tamu asikuambie mtu na gharama zako zinakuwa fixed ila sasa kinachotokea sasa naona kama ninaanza kulowea huko kabisa, naweza nikaa ofisini nawaza nitoke niende kula mzgo, nikipata wazo la ngono tu kdgo napata msukumo wa ajabu wa kwenda kutafuna mzgo Na lazima niende, naweza nikawa nimelala nikashtuka saa nane /saba nikawasha gari nikaenda kutafuta dada poa, haya maisha ya kukaa na madada poa yananitesa kwa sasa na pia kwa sasa siwaamimi tena wadada wa mtaani wengi kwani wengi ninawakuta kwenye viwanja vya madada poa hta wale niliokuwa nawaamini ofisini kuna mda nawakuta viwanja hadi nashangaa hawa wadada siku jizi wamekuaje, au ndo wote wanajiuza??
Kama umewahi kupata addiction ya madada poa naomba kujua njia za kujinasua huku wakuuu
Kama umewahi kupata addiction ya madada poa naomba kujua njia za kujinasua huku wakuuu