Pokea umueleze jinsi alivyo kuumiza basi utapona!Kuna huyu Mwanamke niliwai kuwa nae ktk mahusiano nilimp e
Barida tuWe mkaushie tu.. kwani sh ngapi?
Ushauri huu fuata, usipofanya inamaanisha kuwa na wewe mleta Uzi bado unammpenda na unammtaka tenaBlock namba yake
Una hasira nao eeraha kweli mwanaume nkiskia amepatikana km hv mana nyie mkibadilika mnakua nyoka sana!!!
Hawez hakuna mwanaume atakae tafutwa na mwanamke akakataa hata ikiwa ana demu mwngne ila anaweza kujikumbushia piaUshauri huu fuata, usipofanya inamaanisha kuwa na wewe mleta Uzi bado unammpenda na unammtaka tena
Uyasahau wapii unajibalaguza tu.Nilifunzwa kuwa mwanaume kuonyesha umeumizwa na mapenzi wakt mwengine sio vzr, inabid ujikaze tu hata Kama umeumizwa Ila Kuna huyu Mwanamke ameniumiza acha niseme niliwai kuwa nae ktk mahusiano nilimpenda lakin baadae akafanya ujinga Sana nikaamua kuachana nae..lakin kila siku ananipigia simu halafu anachoongea cha maana hakuna.
Ananikwaza kwa sababu zifuatazo
1. Kwanza nahis kwa sababu anajua nampenda kwa hiyo anafanya makusudi. Kwa sababu anajua kwenye mapambano Yale ye ndo mshindi.
2.Ananikwaza kwa sababu ananikumbusha mambo ambayo nilishayasau.
Nimemwambia asinipigie simu lakin hachoki. Nifanyaje
Badilisha number mkuuuNilifunzwa kuwa mwanaume kuonyesha umeumizwa na mapenzi wakt mwengine sio vzr, inabid ujikaze tu hata Kama umeumizwa Ila Kuna huyu Mwanamke ameniumiza acha niseme niliwai kuwa nae ktk mahusiano nilimpenda lakin baadae akafanya ujinga Sana nikaamua kuachana nae..lakin kila siku ananipigia simu halafu anachoongea cha maana hakuna.
Ananikwaza kwa sababu zifuatazo
1. Kwanza nahis kwa sababu anajua nampenda kwa hiyo anafanya makusudi. Kwa sababu anajua kwenye mapambano Yale ye ndo mshindi.
2.Ananikwaza kwa sababu ananikumbusha mambo ambayo nilishayasau.
Nimemwambia asinipigie simu lakin hachoki. Nifanyaje