Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF, Hii ni kwa sisi tunao tafuta mpenzi/mchumba/mke,Ili tutuhakikishia unacho maanisha kama sio utani na upo serious kweli ni bora uweke picha yako tukuone.Sio ma post kila siku...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanajamvi inasikitisha sana, ndoa yao ilikuwa ya kufana na kuvutia kwa kila mtu.Watu wanaomjua huyo mwanamke walimuonya sana rafiki yangu lakini hakusikia hatimaye akaamua kumuoa. Mimi...
8 Reactions
173 Replies
40K Views
Hii ipo sana kwenye Ku date ,kiukweli kuna ugumu tena sana kukutana au kupata access ya kumpata au hata kukutana nae unaempenda for real,nasisitiza tena REAL LOVE Mimi niliona iko kwangu tu lakini...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
1. Busu kamili- All over kiss. 2. Busu la malaika- Angel kiss. 3. Busu la kunyonyana ulimi- French kiss. 4. Busu la kumwamsha mpenzi- Wake up kiss. 5. Busu la kukanda- massaging kisses. 6. Busu la...
1 Reactions
22 Replies
14K Views
Helooooz mabestito Natumai mnaendelea vyema wapendwa wangu. Mama mfundajji ndo nimeingia mzima mzima tena leo naona somo la juzi wengi wenu hamkulielewa sasa leo nimekuja somo MARIDHAWA kwa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
I was born in India and adopted by a Spanish couple when I was four. So I have known it all my life my condition of an adoptee due to the lack of resemblance with my adoptive parents and in fact...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika maisha yangu ya anasa za wanawake kwa kweli sijawahi kwenda guest house kuonana na mwanamke ilu tufanye mapenzi,,huwa nawapeleka kwangu tu.sasa kuna dada huyu kanishangaza sana,hataki...
3 Reactions
55 Replies
8K Views
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana. Uzuri alinisaidia kweli nikaka...
2 Reactions
431 Replies
61K Views
Wadau please naombeni mnipe mbinu ambazo naweza kuzitumia katika kumtongoza msichana ambae kwa Mara ya kwanza ndo nakutana nae na nimetokea kumpenda
2 Reactions
43 Replies
14K Views
Shikamooni wakubwa wadogo marahaba na wa rika langu mambo zenu habari zenu mwajionaje na hali Haya leo naombeni tulijadili hili wote wanawake kwa wanaume,leo hii ukiambiwa uchague kati ya pesa na...
0 Reactions
98 Replies
11K Views
1. Thou shalt always talk s**t to each other, but never actually mean it. 2. If you’re in a conversation where girls are talking about one of your friends, and you know he likes on of them, you...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Nina mke tumeishinaye kwa miaka kadhaa juzi kati imetokea kutoelewana kati yetu ugomvi wetu ulikuwa mkubwa kiasi cha kupigana japo hakuna aliyeumia kati yetu, baadaye alikimbia police na kufungua...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
1st year Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe...
5 Reactions
67 Replies
9K Views
Kuna tendency ya mabinti hasa hawa warembo kuogopa kuwa kwenye mahusiano na sisi wanaume wenye shahada au fani za uchumi.hivi kwa nin huwa wanatukwepa sana?
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Natumai hamjambo, Wazee wetu wenye busara huwa wana mtazamo chanya juu ya swala la kuchagua mwenzi wa maisha huku wakisisitiza kutokuwa na vigezo vingi na vigumu wakati wa kutafuta mke au binti...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF, Je utajuaje kama mwanaume wako katoka kuchepuka na mtu mwingne wakati huo hamjakutana wiki mbil? Karibuni ila msitukane.
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimefanya utafiti usio rasmi nimegundua watu wenye taaluma ya uhandisi na ualimu huingia katika ndoa mapema sana kuliko wenzao wa sheria na mambo ya fedha. Wahandisi na walimu huanza kuoa au...
5 Reactions
83 Replies
12K Views
Waungwana, Mbona hili swala la watu kulalamika juu ya haya mapenzi kuwatesa tatizo ni la nani hasa? Maana wanawake wanalalamikia wanaume na wanaume wanawalalamikia wanawake, hivi nani chanzo cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForum na MMU kwa ujumla... Leo nimeguswa kuongelea hichi kisehemu cha Love Connect ndani ya JF na watu wake kwa ujumla... Tumekua tukiona watu wengi japo ni kwa ID fake wamekua...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
The Most Beautiful and S3xy Female Celebrities in Africa The Most Beautiful and S3xy Female Celebrities in Africa | BUCHA
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…