juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Katika maisha yangu ya anasa za wanawake kwa kweli sijawahi kwenda guest house kuonana na mwanamke ilu tufanye mapenzi,,huwa nawapeleka kwangu tu.sasa kuna dada huyu kanishangaza sana,hataki kabisa nimpeleke kwangu bali anataka kama ntataka tunda basi niende nae guest house,imenishangaza sana kwa sababu huyu ndie mwanamke wa kwanza kutaka hivo,hivi hii inachangiwa na nini wakuu??
NB:kuuliza si ujinga,leo kwangu kesho kwako
NB:kuuliza si ujinga,leo kwangu kesho kwako