Jinsi ya kumwingia dem ambaye hujawai onana nae

Wadau please naombeni mnipe mbinu ambazo naweza kuzitumia katika kumtongoza msichana ambae kwa Mara ya kwanza ndo nakutana nae na nimetokea kumpenda
Anza kumuomba number ya simu, mengine yatajielekeza yenyewe wakati mnaendelea kuwasiliana
 
mpeleke pahala pazuri sio kwako...
sehemu tulivu ya heshima
ale anachopenda ,anywe
share story nae
alafu mwisho unamwambia nakupenda....nataka uwe wangu wa moyoni..

story nyingi lenga kwenye kuchunguza yupo vipi,je mtafaana?
maana sio unataka mtu kumbe tabia huzijui,hamuendani unamvaa tuuu...itakula kwako
 
Wadau please naombeni mnipe mbinu ambazo naweza kuzitumia katika kumtongoza msichana ambae kwa Mara ya kwanza ndo nakutana nae na nimetokea kumpenda
Kamnywee kiroba cha konyagi halafu udindishe ili akiinama kukuchunguze akute mashine iko juu

Hafu mda tuanawaza tanzania ya viwanda we unawaza papuchi kweli tatizo ccm
 
Mfuate kwa heshima then sema hivi "Samahani kwa usumbufu, nimekuona na kuna kitu kimenisukuma kukwambia ya kwamba unaonekana huna makuu, ni mtu mzuri ambaye naweza kuongea na wewe, naomba sekunde chache" Akijibu " Sawa " Omba namba ya simu then mu-invite mtoke out kupitia simu. Akijibu " Hapana" sema thanks kisha ondoka zako. Kama amesema hapana it means ile natural connection kwa muda uliotumia kuongea naye haikuwepo. Disclaimer: Njia hii inatumika kwa wasichana wastaarabu na wenye class, na kwa wanaume wanaojiheshimu. Most of the time it works.
Haya nishakupa uchawi...Go Get 'Em
 
hizi siku hizi tumezichoka.
 
mtoe out mnunulie chakula, piga nae tu stori za kawaida, badae mtext, kuwa unampenda hukuwa na courage yakumwambia pale, iliwork kwangu sijui kwako, all the best, usisahau kumpa nauli mnavyoagana.
 
Kuna alternative mkuu. Nenda na pochi imetuna dola then dondosha mbele yake simu yako na ile pochi....akikusaidia kuokota chomoa dola 100 mpe...then omba namba. It works too. Kuna 1001 ways to catch a papuchi mkuu
hahahaaaaa yaani kama kumrushia kuku punje za mahindi aingie bandani!!!
duuh haifai
 
Ukimuona mwambie we shoga, mademu wanapenda sana urafiki na mashoga. Ukipata chance tu ya kuwa nae peke yako baada ya urafiki unabidilisha gear angani kwa kumwambia amekufanya ubadilike kutoka kuwa shoga the rest will be history kama wasemavyo wadhungu.
 
Hahahaha! Dah we jamaa noma
 
Ukimuona mwambie we shoga, mademu wanapenda sana urafiki na mashoga. Ukipata chance tu ya kuwa nae peke yako baada ya urafiki unabidilisha gear angani kwa kumwambia amekufanya ubadilike kutoka kuwa shoga the rest will be history kama wasemavyo wadhungu.
duh!hz njia nyngine nomA sanA aiseee....
 
Back
Top Bottom