Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,660
Shikamooni wakubwa wadogo marahaba na wa rika langu mambo zenu habari zenu mwajionaje na hali
Haya leo naombeni tulijadili hili wote wanawake kwa wanaume,leo hii ukiambiwa uchague kati ya pesa na mume/mke utachagua nini.Nitatoa scenario kadhaa ili tuone application ya hili.
1. Mmevamiwa na majambazi yakakupa choice waue mke/mume ubaki na pesa au pesa zote zichukuliwe ubaki na mumeo mkeo unachagua nini?
2. Una mali nyingi lakini ghafla unayumba kiuchumi mtu fulani mwenye pesa zake anakwambia uchague akusaidie uchumi wako urudi kama zamani ila umpe mkeo au azidi kukuyumbisha kiuchumi ubaki na mkeo/mmeo unachagua nini?
3. Leo umepewa nafasi moja tu uchague kati ya vitu hivi viwili mke/mume mzuri soulmate wako mnayematch anayechangia furaha yako kwa kiasi kikubwa au pesa na kila kitu cha fahari unachagua nini?
4. Mkeo/Mmeo anaumwa yupo hoi na uwezekano wa kupona kwake upo ila matibabu yake ndo almost mali na pesa zenu zote tena mmezipata kwa shida mno na kwa muda mrefu, ukiamua atibiwe maanake pesa hamna unabaki na mume/mke ukimwacha maana yake unabaki na pesa zako ila hakuna mke au mume unachagua nini?
NB: Hapa naomba ieleweke kabisa siongelei wale wenzangu na mimi wa hit and run au cheap and quick sex naongelea zile hisia ambazo mtu aliyebahatika kuwahi kukutana nazo zile hisia za ukweli za upendo kati ya mume na mke wanaopendana katika shida na raha ambao watafanya wanachoweza kuhakikisha wenzi wao wana furaha kikweli kama mifano ya picha kadhaa hapa.
Narudia tena topIc yetu haihusiani na easy and quick sex. Nipo tayari kusahihishwa na kuelimishwa.
Karibuni wadau tujadili kwa pamoja.