mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,734
Hii ipo sana kwenye Ku date ,kiukweli kuna ugumu tena sana kukutana au kupata access ya kumpata au hata kukutana nae unaempenda for real,nasisitiza tena REAL LOVE
Mimi niliona iko kwangu tu lakini kumbe nimeona kwa rafiki na washikaji zangu wa karibu wa kike na kiume ,na usie mpenda anakuganda kama ruba!!
Sasa nauliza hivi may be sisi tuna exaggerate things ?au tuna aim high sana kuliko uwezo wetu au tufanyaje kufikia lengo letu?au age?
Au na nyie kwenu hii hali hua inawatokea au imeshawahi kukutokea?uli solve vipi na kupambana vipi na incompability hizi
Jamani unaweza ukawa umefanikiwa kielimu ,kiuchumi,kisiasa,kijografia ,kifizikia,etc ila ukikosea tu mke/mume either utakufa mapema( ushahidi wa kisayansi upo) ,utaishi maisha yasiyokua na furàha ( mafanikio yanakua meaningless) ,utapata aibu na mgogoro hadi unaingia kaburini etc etc hivyo basi MMU ni integral part of life na sanaa ya mapenzi na jamii inapaswa tuiandike kulingana na enzi hizi za global challenges na love market
Love breeds marriage ,marriage leads to family which is a natural and traditional institution of raising children then the society and nation