Salaaam,
Tofauti na enzi za mwalimuuuu ambapo wamama walio wengi walionekana kuwa walezi wazuri wa watoto katika familia zilizokuwa nyingi. Wamama wa enzi hizi za digitally wamebadilika sana...
Habari zenu wana,
Kuna kaka mmoja huko kitaa nampenda sana ila kumwambia siwezi na sijawahi kumpenda mwanaume lakini huyu kiboko.Kwa kifupi huyu kaka anafanya kazi za night sijui ni mlinzi ni...
Linapokuja swala la mapenzi na uhusiano kwa kawaida sisi wanawake tunaishi katika ushindani hata kama ni mashoga wa kupika na kupakua, iwe ni huko makazini kwetu, mitaani tunapoishi au popote pale...
Ebwana wanaJF mzuka!
Ndoa za siku hizi hazina maana kabisa ni sarakasi na kufuata mkumbo tu eti nimeoa na kuolewa. Kwa maoni yangu ndoa inabidi iwe kwa miaka miwili tu. Ikivuka hapo siyo ndoa...
Hili ni tatizo au ni nature ya mtu..?
Wanajamvi naombeni maoni /ushauri wenu kwa hili.
Dada ninayemfata kuzaliwa ni ana sijui niseme tabia tofauti .na kwa mujibu wa wazazi hali hii ilimtokea...
Wana JF Umuhofia kwenu,
Leo nimeona nilete hili la asante Magufuli. Vijana inabidi tulipongeze kwani tumepata ngekewa ya kuwapata mademu wazuri ambao hapo awali walipotea kabisaa kwa sababu ya...
Kuwa mwanaume ni raha sana, duh. Nakumbuka enzi hizo, nilikuwa nagonganisha sana wasichana, tena shuleni. Wakigunduana wanaanza kuwindana kama mbwa na paka, cha ajabu mimi hawanigusi wala...
Wana forum naombeni ushauri wenu, nipo jijini tanga kwa muda wa miezi 2 sasa tangu nihamie hapa nikitokea dodoma, tatizo ni habari ninazo pata mitaani na shutuma nyingi sana, eti ohh we kaka...
Wakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na...
Wana JF,
Kweli dunia sijui ndio inakaribia? Kuna kijana mtaani kwangu juzi nimemwambia sasa umri unamtupa bora tu akaoe, alinipa jibu moja kidogo nizimie, eti anadai hana haja ya kuoa kwa sasa...
Hey guys NAOMBENI USHAURI WENU, Najua ushauri wa wengi huwa waleta uelewa na akili ya kuambiwa changanya na yako ili vitu viende sawa, mimi na mke wangu tumekuwa mbali kwa muda wa karibu miaka...
Jamii nyingi hutofautiana jinsi wanavyomkaribisha mtoto wao humu Duniani na pia jinsi wanavyomuaga anayetangulia mbele ya haki.Katika jamii nyingi duniani, kuna tamaduni tofauti za kuomboleza...
Mvulana mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa
kwanza wa kupunguza uume wake.Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza kushiriki katika tendo la ngono ama hata...
Nimesoma makala yenye kichwa cha habari hapo juu katika gazeti la 'Nipashe Jumapili Julai 17, 2016' iliyoandikwa na Mwanahabari 'Mary Geofrey'.
Mwandishi naamini amewakilisha mtazamo, hisia na...
Mimi ni kijana mfanyakazi na nimejiajiri, naishi Tabora Mjini. Natafuta binti mrembo mwenye makalio makubwa kwaajili ya kuwa mpenzi wangu na baadae tukijaaliwa awe mke wangu. Sina mtoto na...
Ndugu zangu,
Leo sina furaha kabisa,sijui nikaanze tu dozi kwa sababu kwa asilimia tisi na tisa ninauhakika mwenzenu taabani.
Jana sijatumia kinga ila baada ya mechi alinieleza aliambukizwa toka...