fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 Jul 18, 2016 Thread starter #3 malimingiii said: Nimependa hicho kigwauni Click to expand... Ni vyema tukaiga kwa wenzetu waliotutangulia.
malimingiii said: Nimependa hicho kigwauni Click to expand... Ni vyema tukaiga kwa wenzetu waliotutangulia.
ney kaaya JF-Expert Member Jun 27, 2016 447 354 Jul 18, 2016 #4 fakalava said: Ni vyema tukaiga kwa wenzetu waliotutangulia. Click to expand... hahahahhahahahhahahhahahahah umeonaeeeeeeee
fakalava said: Ni vyema tukaiga kwa wenzetu waliotutangulia. Click to expand... hahahahhahahahhahahhahahahah umeonaeeeeeeee
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,092 53,495 Jul 18, 2016 #5 Setup ya hiyo harusi ipo poa sana.
fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 Jul 18, 2016 Thread starter #7 Bavaria said: Setup ya hiyo harusi ipo poa sana. Click to expand... Ya kwanza au ya pili?
fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 Jul 18, 2016 Thread starter #8 sister said: nimeipenda video ya pili........ Click to expand... Kitu gani umekipenda sister?
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,847 Jul 18, 2016 #9 fakalava said: Kitu gani umekipenda sister? Click to expand... dance yao, nyimbo waliyoichagua .....na kigauni cha binti...... naomba niulize huyo anayecheza nae ni mmewe ?
fakalava said: Kitu gani umekipenda sister? Click to expand... dance yao, nyimbo waliyoichagua .....na kigauni cha binti...... naomba niulize huyo anayecheza nae ni mmewe ?
fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 Jul 18, 2016 Thread starter #10 sister said: dance yao, nyimbo waliyoichagua .....na kigauni cha binti...... naomba niulize huyo anayecheza nae ni mmewe ? Click to expand... Ndiyo... ni mmewe, binafsi hiyo video ya kwanza nimeipenda.
sister said: dance yao, nyimbo waliyoichagua .....na kigauni cha binti...... naomba niulize huyo anayecheza nae ni mmewe ? Click to expand... Ndiyo... ni mmewe, binafsi hiyo video ya kwanza nimeipenda.
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,847 Jul 18, 2016 #11 fakalava said: Ndiyo... ni mmewe, binafsi hiyo video ya kwanza nimeipenda. Click to expand... sawa................
fakalava said: Ndiyo... ni mmewe, binafsi hiyo video ya kwanza nimeipenda. Click to expand... sawa................
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,092 53,495 Jul 18, 2016 #12 fakalava said: Ya kwanza au ya pili? Click to expand... Zote.
fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 Jul 18, 2016 Thread starter #13 Jennifer Gray na Patrick Swayze, siyo wapenzi bali walicheza hii video kama wapenzi.