Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Kuwa mwanaume ni raha sana, duh. Nakumbuka enzi hizo, nilikuwa nagonganisha sana wasichana, tena shuleni. Wakigunduana wanaanza kuwindana kama mbwa na paka, cha ajabu mimi hawanigusi wala kuniuliza.
Basi siku moja ulipigwa mkono mbele ya kadamnasi na wasichana fulani wawili wabichi, nyonyo saa sita, si mnajua nyonyo za ukweli zinavyochomozaga kwenye blauzi nyeupe za vibinti vya sekondari? Walikung'utana huku wakitukanana matusi balaa! , hebu niangalie kwanza nilivyo, wewe ndiye uliyemtaka bwana wangu, na matusi mengine ya nguoni". Niliona soo, ila baadaye nikasema liwalo na liwe, ndio uanaume wenyewe.
Adhabu nilikuwa napewa za kuchimba visiki na kufyeka tu majani, halafu biashara inaisha. Jamani shuleni hasa sekondari ilikuwa ni raha mstarehe.
Wewe umeacha legacy gani shule ya sekondary? Kujikojolea? Kupata sifuri/kubeba darasa kila mtihani? Kutoroka kwako ilikuwa lazima? Kuchelewa shule kila siku? Siku ya wali kubeba kindoo? Kuiba mahindi mabichi ya shule? Au ulikuwa mchezaji ukiingia uwanjani vibinti vinaanza "usiniumizie"?
Hahahaaa, wengine mlioishi shule kama mpo mahabusu, mtuambie pia.