Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari JF Kuna jambo huwa linaniwazisha sana kwenye mahusiano hivi ni kwanini watu hasa wanaume hawaonagi uzito wa kuthamini vitu vya wapenz wao Unaeza kuta mdada unabaadhi ya nguo zako kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nawaandikia ninyi vijana wenzangu wa kiume na wanaume wote, maana tuna nguvu na mmejaliwa na mwenyezi Mungu utashi, hekima na busara. Yote hayo ni ili tuweze kutawala kila kitu tokea kuumbwa kwa...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za muda wana jamvi, Wengi tunamfahamu sheikh huyu maarufu na mwenye kutoa mawaidha ya kuvutia. Alipokua kwenye kipindi cha Take One Clouds TV ametusaidia kujua tafsiri ya mwanamke mzuri...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Kama mlivyoona neno CHUPI hivi ni sahihi kwa wadada kuvaa chupi kilasiku na kuzivua na kuziweka kwenye furushi la nguo wengine wanafua baada ya wiki wengine had wiki2 hivi ni usafi kweli jaman...
0 Reactions
142 Replies
20K Views
Namshukuru Mungu tumejaliwa kupata mtoto.Ninachotaka mnisaidie ni kwamba mke wangu anakaribia kurudi kazin baada ya miezi 3 ya maternity. Pia mwezi wa nne wote atakuwa akitoka saa 6, na mwezi 5...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dear Brothers, Kama wanawake wanakusumbua kwenye mauhusiano ni muda muafaka wa kujitenga na kujitathmini juu ya wanawake na ni muda wa kuwekeza kwenye mianya ya kutafuta pesa,hii ndio post bora...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi nafika mahali naogopa sana maana nawaonea huruma maana ukitoka na msichana ukiwa room hawezi kukuambia bebi una kondom? Huwa atanyamaza ukianza romance tuu ametulia ukimvua kutulia ukiingiza...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
NJIA 60 ZA KUMFURAHISHA MKEO 1. Mfanye ahisi kuwa yuko salama; acha kuwa mbabe na mgomvi! 2. Unapoingia nyumbani ‘toa salamu' Salamu humfukuza shetani nyumbani kwako! 3. Mke ni mfano wa chombo...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari zenu wandugu Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, kama ujuavyo hapa mjini huwezi kuishi kutumia mshara wako peke ukakutosheleza kwa mahitaji yako ya kila siku lazima uwe na dili...
2 Reactions
78 Replies
9K Views
Samehe yaliyopita. Weka huru nafsi yako. Najua sasa hivi waweza kuwa unafikiria ni kwa jinsi gani maisha yako yangalikuwa ya furaha kama ungalifanya jambo fulani tofauti na ulivyofanya. Unajaribu...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Wana JF waliandaa Mchapalo (Cocktail Party) kwa ajili ya kusherehekea miaka kumi tangu kuanzishwa kwake. Hapakuwa na kadi za mwaliko bali kuna namba ulitakiwa utaje baada ya kutajiwa namba na...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Weekend Story Loading saa 2 usiku. SI YA KUKOSA. (Kumradhi sitomalizia ile story ua get rich or die trying...
27 Reactions
563 Replies
114K Views
Mimi ni Mwanaume Umri: Miaka 28 Elimu: Degree Kazi: Employed Dini: Mkristo Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wealthy Indian spends £14,000 on a shirt made of GOLD to impress the ladies (and if nothing else it means less ironing for them!) Shirt took a team of 15 goldsmiths two weeks to construct Has...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Habarini! Iko simple sana. Cha kufanya wewe mwanamke kwa mmeo au mpenzio wa kiume kumuweka kiganjani ni: BE A LADY IN PUBLIC AND A FREAK IN PRIVATE. Wanaume wengi tunapenda mwanamke ambaye...
9 Reactions
39 Replies
6K Views
Kijana mmoja wa kiume alimwambia mdada anampenda. Yule dada akamuuliza unamaanisha nini?Kwani upendo uko wa aina nyingi. -Aina za upendo: 1.Agape-Upendo wa kimungu, kwa namna ile Mungu ametupenda...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Habarini ndugu zangu, Niko tena pamoja nanyi tuelekezane zaidi.Ninampenzi wangu kweli nampenda Ila tatizo kubwa haniamini. Ninapata wakati mgumu sana na inafikia kipindi najuta uhusiano huu...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Salaam ndugu zangu, Baada ya kupata ushauri na maoni mengi humu ndani,niliamua kufanya DNA test nikiwa kwenye mipango ya kumuona mkemia mkuu bila kumwambia chochote yule mwanamke niliamua...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa. Nazo ni: 1) Sare ya shule 2) Joho la Graduation 3) Gauni la Harusi 4) Maternity dress (Nguo ya...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom