Nafuata Utelezi, raha ninazo mwenyewe!!

Nafuata Utelezi, raha ninazo mwenyewe!!

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,173
Wana JF,

Kweli dunia sijui ndio inakaribia? Kuna kijana mtaani kwangu juzi nimemwambia sasa umri unamtupa bora tu akaoe, alinipa jibu moja kidogo nizimie, eti anadai hana haja ya kuoa kwa sasa, eti kwa mwanamke nafuata utelezi raha zangu ninazo mwenyewe.

Nilivyomuuliza zaidi kulikoni, anasema anaumizwa sana na mawazo kwani kuendesha boda boda ameona mengi, amewavusha wengi hata ambao alikuwa hategemei, hivyo aliamua kula-nyeto kwani anaona akioa anaamini hataibiwa tu.

Je wewe huna tamaa nao, akasema sie huwa tunawapata kirahisi, wakati anampeleka wakati mwingine hakizidiwa naye anaomba gemu, mwanamke hawezi kukataa maana anajua hakikataa yawezekana akalisanua, tokea hapo jua kuwa hili mwanamke asiangaike na boda mwingine umchagua yule yule ambaye ni "chungu aliyeona kivuno"
 
kuna wakati mafundi cherehani walikuwa vinara wa kula wanawake,wakaja madereva teksi,wakaja wauza mitumba,wakaja maafisa wa benki ikawa shida ya mjini,ma HR nao nao hawakubaki nyuma,ghafla wauza chipsi wakawa vinara wa uharibifu tena kwa vibinti vidogooooo....sasa madereva wa bodaboda wameshika usukani!!!
 
Wana JF,

Kweli dunia sijui ndio inakaribia? Kuna kijana mtaani kwangu juzi nimemwambai sasa umri unamtupa bora tu akaoe, alinipa jibu moja kidogo nizimie, eti anadai hana haja ya kuoa kwa sasa, eti kwa mwanamke nafuata utelezi raha zangu ninazo mwenyewe, nilivyomuuliza zaidi kulikoni, anasema anaumizwa sana na mawazo kwani kuendesha boda boda ameona mengi, amewavusha wengi hata ambao alikuwa hategemei, hivyo aliamua kula-nyeto kwani anaona akioa anaamini hataibiwa tu. Je wewe huna tamaa nao, akasema sie huwa tunawapata kirahisi, wakati anampeleka wakati mwingine hakizidiwa naye anaomba gemu, mwanamke hawezi kukataa maana anajua hakikataa yawezekana akalisanua, tokea hapo jua kuwa hili mwanamke asiangaike na boda mwingine umchagua yule yule ambaye ni "chungu aliyeona kivuno"

Hapo nahitaji tafsiri maana nimetoka kapa!
 
Madereva bodaboda wako juu kwakweli.

Wanafahamu mambo mengi sana
 
kuna shughuli za ghafla jamaN na mimi HOM huwaga ninae m1 tu,,, tena ninaemjua na wanamjua vema HOM,, na ndie tunaemtumiaga kwa shugul za ghafla.
 
kila kazi na uzuri wake japo vipato vinatofautiana
 
kuna wakati mafundi cherehani walikuwa vinara wa kula wanawake,wakaja madereva teksi,wakaja wauza mitumba,wakaja maafisa wa benki ikawa shida ya mjini,ma HR nao nao hawakubaki nyuma,ghafla wauza chipsi wakawa vinara wa uharibifu tena kwa vibinti vidogooooo....sasa madereva wa bodaboda wameshika usukani!!!
Yaani hawa ni zaidi ya balaa, kwa sababu wao wanaomba kitu kwa kutumia mikwara ya kumsemea mtu kwa mumewe.
 
Hapo nahitaji tafsiri maana nimetoka kapa!
Yaaani ni kwamba kwa mwanamke anafuta kuchochea utelezi ili azitoe mbegu ila akipiga kun-yeto zinatoka vile vile hivyo wakati wowote anaweza zitoa bila mwanamke. Hivyo wakina dada hakuna haja ya kuwawaza sana. Kuusu chungu kuona kivuno ni kwamba Yule mwanamke analiwa na jamaa kila siku au mara kwa mara sasa wakiwa njiani naye anaomba anakula upya, yeye anajifananisha na Chungu (Mdudu) kula ganda (Mwanamke aliyetumika) Muwa (mwanaume aliyemtumia) Kivuno (yaani chungu ndio kwanza ameona amempata mpya)
 
na ndie
kuna shughuli za ghafla jamaN na mimi HOM huwaga ninae m1 tu,,, tena ninaemjua na wanamjua vema HOM,, na ndie tunaemtumiaga kwa shugul za ghafla.
unaemtegemea kwa nyege za gafla
 
Duh kumbe nita cheza mbali na toyo[emoji126] [emoji108] [emoji23] [emoji23] nyoo
 
kuna wakati mafundi cherehani walikuwa vinara wa kula wanawake,wakaja madereva teksi,wakaja wauza mitumba,wakaja maafisa wa benki ikawa shida ya mjini,ma HR nao nao hawakubaki nyuma,ghafla wauza chipsi wakawa vinara wa uharibifu tena kwa vibinti vidogooooo....sasa madereva wa bodaboda wameshika usukani!!!
Bila kuwasahau wapiga picha.
 
Women think men are hoes, same on the flip side. So basically, we're all hoes. What's the deal now?
 
Back
Top Bottom