Ebwana wanaJF mzuka!
Ndoa za siku hizi hazina maana kabisa ni sarakasi na kufuata mkumbo tu eti nimeoa na kuolewa. Kwa maoni yangu ndoa inabidi iwe kwa miaka miwili tu. Ikivuka hapo siyo ndoa tena ni maigizo.
Kuna haja gani ya kuishi kwenye ndoa miaka yote hiyo huna furaha. If only walls could talk. Miaka miwili ama chini ya miaka miaka 2 inatosha kwa kupendana baada ya hapo ni talaka. Unafiki kwenye ndoa si mzuri bora uwe singo na kutandaza miti tu.
Ni wakati sasa hivi tuipigie debe ndoa ya mikataba. Ukiona sarakasi na maigizo yanayofanyika kwenye ndoa inahuzunisha sana na inakatisha tamaa.
Jesus help us waja wako!
Nawakilisha